Recent content by marxlups

 1. marxlups

  Mjue Baba wa chombo cha anga Mwenye umri mrefu

  Hatuwawezi, kama walikuwa na uwezo huo mwaka 1977, sisi mpaka leo hata kutengeneza sindano ya kushonea viraka vya suruali hatujaweza
 2. marxlups

  Tofauti ya Radio Tumaini na Radio Maria

  Anakwaza na kulipaka matope dhehebu la RC ambalo kimsingi mafundiso yake ni mazuri
 3. marxlups

  Tofauti ya Radio Tumaini na Radio Maria

  Ni kweli Radio Maria imekaa kiimani zaidi ila wanatakiwa kuwa makini na ndimi zao, kuna mhubiri wao mmoja anaitwa Titus Hamidu nadhani yupo Mwanza kama sijakosea SAUT alisema waprotestant ni wahuni walibadili maana ya toba na kuichanganya na msamaha kihuni kihuni akirejea vitabu vitakatifu Yoh...
 4. marxlups

  Tofauti ya Radio Tumaini na Radio Maria

  Kuna moja hapo inapiga sana miziki ya ndomboro ya solo
 5. marxlups

  Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa mitano

  Ningekuwa Mwinyi ningeweka mikoa miwili tu Unguja na Pemba Zanzibar - Wikipedia en.wikipedia.org › wiki › Zanzibar Tafsiri ukurasa huu Zanzibar is a semi-autonomous region of Tanzania. It is composed of the Zanzibar Archipelago ... 26 April 1964. Area. • Total. 2,462 km2 (951 sq mi)...
 6. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Umbali is not a serious issue, wanahitajika kuweka kituo kimoja cha kushusha na kupakia abiria katikati ya mji
 7. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Ueongea point nzuri sana, kama mamlaka husika zingekuwa zinawashirikisha wananchi kwa ujumla wao kutoa maoni kabla ya kutekeleza miradi inayowagusa wao moja kwa moja ingesaidia sana kuepuka maamuzi ya hovyo wanayofanya viongozi, maamuzi hayo ya hovyo yanafanywa kwakuwa wao wenyewe hawatumii...
 8. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Ulitangaza kuwa unajenga stand huko porini? Uliogopa nini kutangaza kabla hujaanza ujenzi?
 9. marxlups

  Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

  Kumbe taarabu zilikuwepo tangu kale
 10. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Haitakuwa haki, fikiria wakizuia magari binafsi yasifike katikati ya mji yote yaegeshwe masika na fire, utajisikiaje kutembea kwa miguu mpaka ufike katikati ya mji
 11. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Au anaishi Lukobe anafanya kazi Kilakala, maana yake ashushwe Masika kisha atembee kwa miguu hadi mjini kati mwendo wa dakika 10++
 12. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Wangetoa miongozo kuwa daladala zipite njia gani kuelekea kwenye hiyo stand, ilivyo kwa sasa nyingi ya daladala za Tungi na Kihonda zinashushia abiria Masika ambako ni mbali katika kupata connection na route zingine kama Bigwa nk
Top Bottom