Wandugu mi sielewi. Ni muda Sasa tangu nianze kuona hizi picha yaani saizi hata kufungua mbele za watu Facebook naogopa maana lazima nizikute picha za ngono. Sijui wengine mnaziona pia daaa!
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
wapendwa,
Tafadhali Kama unajua kuhusu mwanamke yeyote anayepambana na SARATANI YA MATITI kwa hatua yoyote tafadhali mshauri awasiliane na Dorothy@africacancerfoundation.org kabla ya tarehe 7 Machi, gharama zote za matibabu ni bure.
Tafadhali usiuweke kwako ujumbe huu, SHARE AU TAMBIE kwenye...
Pole sana mkuu, naijua vzr cancer ya matiti ilivyomteketeza dada yangu aise ni huzuni sana unashuhudia inavyomla Hadi dk ya mwisho kabisa. Mi nashauri kama wazazi wako wapo mpeleke huko kwanza ili machungu yapungue kwako wewe na kwa watoto
Mkuu Kuna biashara nzuri ambayo watu hawajaigundua, fanya biashara ya kuuza ndizi za kuchoma kwenye mkaa. Tafuta ndizi flani sijui zinaitwaje, ni nzuri sana kwa kuchoma we kachome hizo uza 3 buku, kumbuka watu wengi hawataki vitu vya mafuta so ndizi utauza, ukifanikiwa ulete zaka kwangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.