Recent content by marshal

  1. marshal

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuisusia maiti kwa sababu marehemu hakuwa akishiriki ibada?

    Sometimes Binadamu Tunalaumu Sana Bila Kuwa Briefed! Kwenye Vikoba Tu Na Associations Zingine Huwa Kama Hushirikiani Na Wenzio Huwezi Kupewa Huduma Pia Utakapokuwa Mhitaji! Ibaada Ya Mazishi Ni Huduma Ya Kanisa Kwa Active Member Wa Kanisa! Kama Ulikuwa Huoni Thamani Ya Kanisa Ulipokuwa Hai...
  2. marshal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo ICU !dah

    SULUHISHO MUDA MFUPI CONT... 2.Endelea Kumwombe Mwenzi Wako Na Umsemeshe Kwa Upole Hata Kama Unaumia,shetani Hapendi Amani Na Umoja Usually Ndoa Ni Vita Against Temptations And Evils! Usisahau Kuomba Toba Kwa Ajili Yako, Yake Na Familia Yako! Ombea Upendo,umoja Na Usemi Wenu! 3. Hakikisha Umempa...
  3. marshal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo ICU !dah

    Mkuu, Pole Sana Kwa Maswahibu Hayo! Mungu Anasema Njooni Kwangu Ninyi Nyote Msumbukao Na Mizigo Nami Nitawapumzisha! Mungu Ni Mwaminifu Siku Zote, Hata Asipojibu Sawasawa Na Upendavyo Bado Yeye Ni Mwaminifu! Watu Wengi Wanakwambia Umwache Mkeo,but I Beg To Differ With The Following Reasons! 1...
  4. marshal

    JamiiForums Tanzania Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

    Rais ana mamlaka makubwa na source of information kuliko ulizonazo wewe hivyo kuhujumiwa ni conspiracy na yeye hajasema kama anahujumiwa
  5. marshal

    JamiiForums Tanzania Nani alimchagua mkalimani(translator) wa Magufuli?

    Pamoja na mimi kuwa sio mtaalam wa Lugha ya kiingereza i bet i can do alot better than that gentleman. Jamaa alikuwa completely out of order , huwezi hata kusema elders badala ya oldmen?[emoji3]
  6. marshal

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Umeshawahi kulima vitunguu ama unaongea kinadharia. Normally kitunguu kinachukua siku 45 kutoka kusia kitaluni mpaka kuhamishia shambani then give it 90 days kukupa kiazi cha kuchuma. Jumla unaongelea around 135days from seeding to harvest.
  7. marshal

    JamiiForums Tanzania GE2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

    Mkuu Pasco, u dikteta sio jambo la kusifiwa likitoka chama chochote. Nafikiri JPM sio Dikteta , nadhani ameona nchi haina nidhamu ya kazi na wanasiasa pia hawana nidhamu ya sheria wala kazi. Nashauri Raisi ajikite kuwatumikia wananchi ila pia awaruhusu wanasiasa wafanye siasa maana ni kazi yao...
  8. marshal

    JamiiForums Tanzania Nitamshangaa sana Nape kama hatachukua hatua za haraka kwenye hili

    Kama research inaonesha kuwa imani kwa Rais imepungua ni wajibu wa polls hizo kutoka ili Rais ajue watu wangapi wanamuunga mkono na wangapi wanaona priorities alizonazo hazijawagusa. Tuache vyombo viripoti as long as kuna scientific research imefanyika au kuna facts zingine zimehusika. Mi...
  9. marshal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Problem yako wewe ni kuwa huna principles za maisha na umezoea uongo na unafiki. Issue kubwa si wewe kuwa na mahusiano na cousin wako bali ni kumpa mtu alee watoto wasio wake,kuharibu maisha ya mwenzio na kuharibu future ya wanao kwa tamaa zako za kijinga. I wish ningekuwa nakufahamu...
  10. marshal

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Marekani viige CCM, ni aibu kuwa na wagombea uraisi waliozeeka

    Nafikiri utakuwa unaangalia uzee based on your understanding..Angalia life expectancy ya Tanzania na Marekani then utajua wenzetu kwa nini katika umri wa miaka 70+ mtu anaweza kugombea urais.
  11. marshal

    JamiiForums Tanzania Ombeni Sefue (OS), ombea haya yasikukute na wewe

    Naona wivu wa kike umeshika hatamu...kwa kutumia wivu wa kike ndugu yetu nae kutumbuliwa
  12. marshal

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa muda mpaka saa 12 jioni kwa mawaziri wasiopeleka tamko la mali watakuwa wamejiondoa

    Kama kuna waziri ama naibu kamsimamisha mtendaji wa chini yake kwa sababu ya utendaji usioridhisha basi na wao wanapaswa kufanyiwa hivyo hivyo.Waziri ndio taswira ya Wizara kama waziri huwezi kuzingatia matakwa ya sheria zote za nchi ina maana utendaji wako wa kazi hauridhishi na unapaswa...
  13. marshal

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Bungeni 2015-2020.

    Logic ni kuwa na kiongozi bora atakayeweza kuunganisha vyama vyote haijalishi atatoka CDM CUF NCCR ama ACT
  14. marshal

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mrema na Lowassa kwenye ugombea urais

    Sijaona ulikuwa unataka kulinganisha ili iweje? What is the point?
  15. marshal

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Pamoja mi ni Pro Ukawa ila nasapoti Masha kukaa ndani alitutesa sana kipindi kile yeye ni waziri..ni vizuri aonje machungu
Back
Top Bottom