Recent content by Marek18

  1. Marek18

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda.... Baadae kidogo ndipo...
  2. Marek18

    MSAADA: Tatizo na madoa meusi mikononi na miguuni

    Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda.... Baadae kidogo...
  3. Marek18

    MSAADA!!!

    Jamani poleni kwa majukumu... Nilikua naomba msaada kwa yeyote mtaalam wa online business hasa zile za ku-earn money online aje anipe msaada juu ya hii online site inayoitwa EARNJET niliyoambiwa ipo KENYA,TANZANIA NA UGANDA na inatoa asilimia 6% kila siku kwa pesa uliyo invest.. Kwa mfano...
  4. Marek18

    Haahahaahha!!!

    bangi inapokutana na pombe kwenye mkutano wa hadhara... Jamaa alikua ana date na demu wa kisabato na mambo yalikua hivi. Jmaa:baby unampenda msanii gani wa kike!? Demu: me hata siwajui kabsa Jamaa:mmmh...kwa mfano akina nani hao ambao hata huwajui!?? Demu: kuna kina zuchu,nandy,na anjella...
  5. Marek18

    Anayejua kozi nzuri za afya na chuo kipi wanaweza soma hapa nchini

    Wana jukwaa natumaini mpo salama muda huu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wadogo zangu (mmoja ndo mdogo wangu wa damu na wawili ni rafiki zake na mdogo wangu) wamemaliza form six mwaka huu na matokeo yao ni kama ifuatavyo. Baraka(mdogo wangu)...
  6. Marek18

    Yeeep

    Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube.... Itafute upate burudani... Miongoni mwa mistari iliyomo wanakwambia HAKUNA MLAMBO MSHAMBA...
  7. Marek18

    Pitcho Gang

    Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube.... Itafute upate burudani... Miongoni mwa mistari iliyomo wanakwambia HAKUNA MLAMBO MSHAMBA...
  8. Marek18

    Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

    [QU OTE="Hance Mtanashati, post: 34842087, member: 400241"] Huu ni uongo wa mchana kweupeeeee inawezekana mzee Sabah kuna maswali mengne ya fasihi yaan like LA 11 na lile LA lazima LA 15 yoote sio ya vitabu
  9. Marek18

    Kwa kina Rama..!!!!

    Bora kuchakaa aiseeee Ni kipigo mpaka mbuzi inaitwa mbujiii
  10. Marek18

    Kwa kina Rama..!!!!

    Kwa akina Rama kulikua ndio kuna video mtaa mzima. Kila ilipokua inafika Saa 12 naoga huyooo Kwa WA RAMA, mda mwingne wakiivisha nipo mara moja moja nilikua nakula kwa WA RAMA. Sasa siku Moja nipo nacheki movie Mara nikakaribishwa msosi ile nafika dinning room Mara paaaaap MSHUA a.k.a dingi...
  11. Marek18

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    jamaa anaitwa BANDO
  12. Marek18

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    BANDO~ TIKITAKA ROSTAM yaan KUMAnisha we braza ni boya../ halaf maji mara moja kama maharage ya soya... ama gemu limekushinda unatafuta kiki.../ sa si ni bora uongeze makalio u dange na gigy.. wee mjinga mpaka noma fata yako.../ kumbe hujui kusoma halaf mwalim mKUU MAma yako...! leo hakuna...
  13. Marek18

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    BANDO~UKOKO ROSTAM "kamdis shishi na wengne wenye k**ma nini../ una pigo fulan za kike kike wee una k**ma nini../ suna mm chuma mm kuna nini una umwa nini na ulimdish mpaka niki mbish bro unakunwa nini...? mwambie huyo boya apunguzee ushambega../ wakazi amekosa kazi mpe ata kazi ya kutenga.../
Back
Top Bottom