Hey wakuuu,
Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs.
Ofisi ipo Lindi Mjini...