Msanii haachi usanii...na anza na huyu hapa:
Waziri wa viwanda na biashara, Dr Abdallar .O. Kigoda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Link:Abdallah Omar Kigoda - Wikipedia, the free encyclopedia
Huyu ndio Maige, huu ndio ukoloni mambo leo. Yeye kufanya kazi british council imekua nafasi ya kuwatumia wakoloni (british) kupata ubunge. Baada ya hapo analipa fadhila.
Swali langu ni kwa mheshimiwa JK, aliona nini kwa huyu bwana kumchagua waziri katika wizara hii nyeti ?....
Ni nani...
MAIGE ameingia katika tamaa, ukifatilia historia ya huyu bwana kwa kweli nimebaki na jibu moja tu. "Maige ni mwizi aliyeshindwa kujitetea.
1. Mkopo aliochua ata kama analipa interest tu. Ni pesa nyingi kwa mtumishi asiyekua na muda mrefu kwenye madaraka
2. Maelezo yake yanamfunga zaidi...
Shukran Mohamed, mwenyezi mungu akuzidishie. Faiza, barubaru, Tropical nimewasoma...naona itabidi wajipange upya. Siku zote tusimamie ukweli ata kama ukweli unauma...historia yetu haiwezi kubadilishwa na watu wachache..
" The truth will set us free"
The only reason these fools are still playing with the system, is because the president is behind all this..I mean Msemakweli has more evidence than Osman Rashid and his people?...DPP?. The president has placed incompetent and corrupt people everywhere to cover his back... Ngelejas, Shimbos...
Sio lazima uwe na degree kujua huyu JK anauza nchi...msaliti wa nchi na wananchi wake. Kiongozi mbovu mbovuuuuuuuuuuuuuu. Tusikae kimpya..hili sio swala la CCM au Chadema, hili ni swala la Taifa zima,nchi yetu. Tusiangalie vyama vyetu, huyu siyo CCM/CUF/CHADEMA, huyu ni msaliti wa watu...
TZ hatujawahi kua karibu na Marekani kama hivi sasa, kwa kweli ukifatilia Wikileak, Safari za JK US nk, naishia na jibu moja tu!! JK ini kibaraka wa wamerikani. Maswali ni mengi, kwanini umekua kibaraka? Ni wapi tunakokwenda ?
Hawa ni wawekezaji, na wamewekeza hoteli za kitalii duniani, sio Tanzania tu. Hii speech ya JK kwa kweli it's below the standard. Alafu nikiangalia utetezi waliotoa Ikulu na hii speech naona haviendani...Another 4 yrs with this guy, only GOD knows...
REMARKS BY H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE OFFICIAL OPENING OF
THE SERENGETI BILILA LODGE KEMPINSKI, 10TH JULY, 2009
Honourable Maj. Ge. Kahinda QtafireMinister for Tourism and Natural Resources;
Mr. Reto Witter, President and CEO of Kempinski...

Source: Michuzi

Mr. Reto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.