Mdau whichever way alimradi Sirikali hii iondoke, njia yoyote ile haijalishi, Mimi na wewe sidhani Kama itakuwa na impact, nobody knows us, tunahitaji wasomi, waandishi SA habari, madaktari, waalimu, watu maarufu then sasa ndio waongezeke wanasiasa, kuna watu wakimwona mtu Kama Maria Tsarungi...