Recent content by MAMBOMPANGO

  1. M

    Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Kwa kuwa huu ujumbe umo katika nembo ya CAF na wala sio nembo ya Umoja wa Afrika, iko wazi kuwa Zanzibar Heroes au Timu ya Taifa ya Zanzibar, inachoomba hapa ni uanachama wa CAF. Mimi badala ya kuutafsiri ujumbe huu kuwa ni "uhaini" kama mmoja alivyodai huko chini, ninaona kama ni "uchochezi...
  2. M

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Na pale Yanga walipokosa misimu minne mfululizo, baadaye misimu miwili wakabeba kombe, je walibebwabebwa?
  3. M

    Zitto tusaidie umeelewa nini pale Bungeni? Hiki ndicho ulichotegemea?

    Duh! Nilikuwa sijui kuwa like AZIMIO, sio mkataba bado, limetengenezwa na Waislamu kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Asante kwa kutufungua macho.
  4. M

    Kuhusu nani anastahili kiatu mskie Othman Kazi, refa wa Mstaafu wa FIFA

    Sasa kama magoli ya Saido ni ya mchongo, kwa nini TFF haichunguzi upangaji matokeo?
  5. M

    Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

    Haya mambo ya kunyofoa vipandebvya mkataba vipande tu vya vifungu yanaweza kusababisha tafsiri potofuu. Kwa hivyo, ni busara Kwanza kuona Kifungu cha 20 kinasemaje.
  6. M

    FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Kama ingekuwa hakuna Home and Away, kaburi lenu lingekuwa hapa hapa kwa Mkapa; wala msingeitia serikali hasara kwa kutoa ndege ili mkanywe kahawa. Nashindwa hata kufikiria adhabu ambayo angewapa Mzee Magu angekuwepo. Karibuni nyumbani KKFC aka Kufa Kiume Football Club. Ah nilisahau! Kufunga...
  7. M

    FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

    TAKUKURU wachunguze pia zile 4-1 za Yanga vs Singida Big Stars. Nyani haoni makalio yake.
  8. M

    Kenya 2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

    Ukinuna, mwenzako anakula. Kwa kuwa kura ya mtu mmoja tu inamfanya kiongozi aongoze nchi, hata tukinuna sote, CCM itaendelea kutesa na kututesa. Katiba mpya ndio suluhisho, tubanane nao hapa hapa mpaka katiba mpya ipatikane.
  9. M

    Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Kama mpenzi wa Simba, pamoja na kuutaja ukweli wote mchungu na kueleza mapungufu yote uliyoyaona kutoka kwa timu, kocha na mchezaji mmoja MMOJA, Pamoj na msululu wa lawama, BASI HUNA HATA USHAURI MMOJA SIMBA IFANYE NINI ILI IVUKE HATUA HII?
  10. M

    FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

    Ikiwezekana afungishwe virago mapema kabla hajasababisha majanga zaidi!
  11. M

    Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

    Jina limesadifu mtu! Shaka, Shaka, Shaka! Hivi una mashaka gani Shaka? Itapendeza zaidi kama utanyamaza Shaka!
Back
Top Bottom