Recent content by Maluo

  1. M

    Je, Upo tayari ama unahitaji kuwa na mtoto bila ya ndoa?

    Mimi ni natafuta mwanamke aliye tayari kuzaa bila ndoa kama upo tuwasiliane vigezo masharti kuzingatiwa.
  2. M

    Nimechoka sana habari za hali siasa CHADEMA zimekuwa za kupikwa kila wakati, kwanini?

    Yaani toka ujio wa waziri mkuu mstaafu habari za CHADEMA zimenifanya kuwa kama kila keyboard imekuwa ipo busy na viongozi hawa mara Dr. Slaa kagoma mara Mh. Mnyika naye kagoma mara Mh. Tundu naye kagoma daah mnatuchosha kabisa hata habari ipi iaminiwe sasa kwani kila mmoja akinywa maji ya UHAI...
  3. M

    Hivi tunataka Katiba ya Nyerere au Katiba ya Watanzania

    Tunahitaji katiba ya tanzania iliyotokana na maoni ya wananchi na siyo maoni wa ccm na watawala kwani siye wananchi ndiyo wenye nchi na siyo ccm na serikali iliyo madarakani yenye kila kitu lakini inaiba meno ya tembo yenye kila kitu lakini haina usikivu kwa wenye kuwapa madaraka inauma jamani...
  4. M

    Picha Joshua Nassari: akishushiwa kibano jimboni kwake

    Sasa kweli makanjanja ni sheeeeeda kichwa cha habari na contents kama vili mwandishi ulipigwa ama ilikuwaje?
  5. M

    Sefue: Ajira serikalini sasa kuzingatia kigezo cha uzalendo kwa nchi

    Hii mbona rahisi kwa ccm kupima uzalendo ni kuwa wataajiri wasioweza kuhoji haki zao za msingi katika nyadhifa husika ama nafasi huzi kwani hawahitaji kupima uzalendo katika BRN
  6. M

    Dhana ya uwajibikaji kwa kiongozi je ilizingatiwa?

    Uongozi kwa njia ya vitisho ni uongozi wa kudumu kwa muda mfupi tu. Watu wanapokosoa maamuzi ya kijinga wanatumia haki yao kama raia na wanaweza kuelimishwa kwa nini maamuzi hayo yalifanyika ama namna jambo hilo linalosibu jamii laweza kufanyiwa kazi. Viongozi wanatenda kwa ajili na kwa niaba ya...
  7. M

    Gari aina ya Toyota land cruser prado inauzwa

    Gari aina ya toyota land cruser prado inauzwa ipo arusha na ni imported kutoka japan this month in CC 2690 imetembea km 38502 inatumia petrol na ina piston nne kwa anahitaji wasiliana nami kupitia mail papaking4@yahoo.com asante
  8. M

    Hivi Raisi Kikwete Anaongoza Nchi Ipi?

    labda ya kule kwa kwenye bembea na safari za nje kwani hivi bado ni waziri wa mambo ya nje ama ni raisi kwani safari zake za nje ni nyingi kuliko hata za waziri wa mambo hayo na pia amawezesha tanzania kuwa ya tatu katika nchi omba omba kwani kila anapozungumzia suala la maendelea anajua njia ya...
  9. M

    'Tangu lini CCM ikawa msemaji wa vyama vingne?'-ZITTO

    unajua CCM akili zimeganda hawana tena wazo jipya la kuwaletea watu wanasubiri wenye akili na wanaojua matumizi yake wakishasema ndiyo wapate cha kusema habari ndiyo hiyo
  10. M

    Mh.mbunge Jeremiah Sumari wa Arumeru mashariki-CCM

    wewe nadhani huwa unasoma machache katika vyombo vya habari acha huyu ambaye anasemekana kachaguliwa hajaapishwa tunaywe waziri yupo katika matibabu kabla ya bunge la bajeti mpaka leo hawajathubutu kumuondolea uwaziri na kumuachia ubunge ije iwe huyu jamani watanzania naibu waziri ndiyo...
  11. M

    CCM yahoji msimamo wa Chadema kuhusu ushoga

    nani alikuwaambia kuana msimamo wa kichama kwenye suala la taifa huyo nape anatumia masaburi kuwaza wanasimamia mambo ya nje ni serikali ya tanzania inayoongozwa kwa sera za ccm sasa leo chadema watoe msimamo wasitoe inawasaidia nini haswa kwani wanaacha ya msingi polisi kutunyima haki ya...
  12. M

    PICHA:Heche anywea FFU watanda njia ya kimara Ubungo..

    Inasikitisha kuwa nguvu fedha na hasa fedha hizi zetu walipwa kodi wa taifa hili kutumiwa kutunyanyasa kutudhalilisha sisi sisi tunazitoa inaniuma sana kwani katika suala la kuandamana tunachodai ni kile wao wanachokizuia kupitia siasa za walio madarakani hivi leo hata mtu anayefanya kazi zake...
  13. M

    Ombi maalumu na mawasiliano kwa wana chadema walio IGUNGA

    hello Nina utashi wa kujua ukweli kuhusu hali halisi ya igunga hivyo naomba mwenye contact za mkuu wa idara ya kampeni ya CHADEMA naomba anitumie katika mail yangu papaking4@yahoo.com ama za mwenyekiti wa mkoa ama wa wilaya hata za mjumbe yeyote wa chadema aliyepo huko igunga asante
  14. M

    Mzee wa Upako ahoji mantiki ya CCM kujifananisha na nyoka katika ngonjera ya CCM kujivua gamba

    siyo kwamba kujifafanisha na nyoka kuna ubaya kwa jamii ya watanzania ila walitaka watanzania wawaelewe vyema zaidi kwani wao CCM na ufisadi ni damu damu hivyo ni lugha ghani watumie kufunika kombe mwanaharamu apite ili waendelee ni kujivua ghamba na hapa ghamba limevuliwa lakini nyoka toka lini...
Back
Top Bottom