Recent content by Makaoconset

  1. M

    Mohamed Said ana siasa za kulialia

    Mzee wangu Mohamed Said, Awali ya yote nakupongeza kwa kutupa elimu hii.Nina mambo nataka kujuzwa kidogo, 1. Unaweza kutujuza Barua hii ya Prof. Malima kwa aliekuwa rais wa wakati ule ilikuwa ikieleza nini zaidi?Nashangazwa vipi barua ya siri ivuje? 2.Natamani nijue zaidi kuhusu Mr Kenya...
  2. M

    Azam Tv na janja janja za bei za vifurushi vipya

    Ni ukweli usiopingika hawa jamaa wana vipindi vizuri vinavyopendwa na watanzania walio wengi.Hata hivyo ujio wa king'amuzi kipya mwezi ujao pamoja na mambo mengine ulizinduliwa na "uwongo" wa kile kilichodaiwa kushusha bei ya malipo ya vifurushi kwa mwezi. Hata hivyo, wakati nikiwasikiliza...
Back
Top Bottom