Recent content by MAGALLAH R

 1. MAGALLAH R

  Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

  Mkuu unademka kwa kuumia sana.
 2. MAGALLAH R

  Kumbe yule jamaa iliyetembea uchi Morogoro na familia yake ni mwana MMU mwenzetu!

  Habari za uhakika kwa 100% zimeonesha yule jamaa aliyeonekana akitembea uchi na familia yake akiwa na mkwe wake Morogoro ni member mwenzetu wa MMU. Chanzo cha taarifa hii ni yeye mwenyewe alipokuwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari na kudai kwamba anajisikia vibaya sana kwani rafiki zake wa...
 3. MAGALLAH R

  Humphrey Polepole njoo umalize huu mchezo wa kitoto (Hoja za CAG, Zitto na Mbowe)

  Hahahaaa zamani bwana kweli ilikuwa zamani
 4. MAGALLAH R

  Humphrey Polepole njoo umalize huu mchezo wa kitoto (Hoja za CAG, Zitto na Mbowe)

  Humphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe. Mbona mchezo huu kwako ni wakitoto tu na kwako unahitaji press conference moja tu ya dakika 45 kumzima CAG, Zitto na Mbowe. Mbona kupindi cha Magufuli...
 5. MAGALLAH R

  Wanahabari fanyeni haya haraka sana

  Nisome tena unielewe mkuu mimi naongea kwa nafasi yangu ila kama na wewe una yakwako anzisha uzi wako uwataje hao uliowataje. Hujakatazwa mkuu
 6. MAGALLAH R

  Wanahabari fanyeni haya haraka sana

  Tena sana mkuu
 7. MAGALLAH R

  Wanahabari fanyeni haya haraka sana

  Kutokana na ripoti ya CAG inayoonesha upigaji wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya tano chini ya Mwendazake basi haraka sana fanyeni yafuatayo: i/ Acheni kuandaa makala na vipindi vinavyosifu mambo aliyofanya Mwendazake. Umeshaambiwa ATCL imeingiza hasara ya 153bilioni kwa miaka mitano...
 8. MAGALLAH R

  Huu ndiyo ushauri wangu kwa Mkurugenzi Mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga Richard

  Ndugu Mkurugenzi Mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga nikupe hongera na pongezi za kustaafu cheo chako ukiwa na umri mdogo sana wa miaka 34 hivi. Ila ningependa kukupa ushauri kidogo ya kwamba kwa kipindi hiki cha ustaafu wako kaa mbali na mitandao ya kijamii kwani itakuchanganya sana. Wabongo...
 9. MAGALLAH R

  Uteuzi BAKWATA wa Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa

  Hapo vetting imefanyika vizuri kweli? Isije ikawa yale ya mama Samia na Thobias Mwesiga
Top Bottom