Recent content by Madcheda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Supermarket za Shoppers kukosa chenchi

    Wadau kumekuwa na nini kwenye hizi supermarket maana kila ukienda pale hawana chenchi na wanakulazimisha wabaki na hiyo chenchi. Mfano umefanya manunuzi imebaki sh 400 au 700 hawatakurudishia watasema huwana chenchi wakitegemea usamehe hiyo hela.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Uwakili wa Profesa Kabudi na muktadha wa alichokizungumza Bungeni

    Haya mambo bana! Mtu anaoata GPA ya 4.8 Ila bar exam inamshinda mpk anapata uwakili kwa msaada! Dahhhhhh
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    We Mzee saiv nakuweka kundi moja na kina le mutuz na jerry Muro
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kirefu sahihi cha CAG?

    Controller and Auditor General
  5. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila akosoa watu kujipa mamlaka ya CAG

    Tumbili nafasi za uteuzi zimeshaisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Magufuli: Matatizo Haya Mengine Mnajitakia Bure

    Ulishapoteza moral authority kuongelea haya mambo! Uchambuzi mzuri ila umeegemea upate wa masakuu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Wewe inabidi jina lako tulipeleke kwa MANGE KIMAMBI atuletee file lako ili uache kutetea hawa watu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Harufu Mbaya ya Ufisadi Katika Daraja la Kigamboni

    Suspension bridge are very expensive ukitaka kufananisha labda lifananishe na akashi bridge la Japan lililotumia mabilioni ya dola na miaka 10 kujengwa wkt lina km 2 tu. Don't compare suspension bridge with normal bridge sbb ni kma apples n oranges
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG) akabidhi ripoti ya 2014/2015 Ikulu

    CAG wa Tanzania Prof. Juma Mussa Assad Leo saa 4 asubuhi amekabidhi ripoti yake ya mwaka 2014/15 kwa Rais Dkt. John Magufuli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CAG atumbua majipu ofisini kwake

    Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi amesema wasimamisha kazi watumishi waandamizi watatu kupisha uchunguzi kwa matumizi mabaya ya madaraka
  11. M

    JamiiForums Tanzania "Mabala wa mabalaa" Ni Nani?

    Huyu ni mwingeleza aliye chukua u raia wa tz miaka ya 70
  12. M

    JamiiForums Tanzania Please naomba tafsiri

    Iyo heading nimeipenda "please naomba tafsiri "
  13. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Sio shabiki wa siasa ila nilikua nataka mabadiliko saari hii, ila huyu kibaraka amenivunja moyo hatariii sana mpk hamu ya kupiga kura imeisha
Back
Top Bottom