Recent content by Rocky City

  1. Rocky City

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Mkuu kuna watu ni wataalmu wa mikakati hadi huwa namshangaaa,huyu jamaa anakipaji cha plan,,aiseee anaweza kukucholea plan usiamini,,watu kama hawa CCM ikiwapata aiseee,,yani kama kuna inshu inayo itaji kuchora plan ya akili huwa nikimpgia simu tu,utasikia ngoja tutachora ramani,,,,RED fire kama...
  2. Rocky City

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Umenifurahisha mwana.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  3. Rocky City

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    Vigogo wanao kula mali za CWT,,,kazi yao wameimaliza vyema,CWT sasa ni hakuna kelele tena ,,ma billion ya pesa kama kawa ymekwisha pigwa.
  4. Rocky City

    Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Makonda nina jambo naye muhimu sana,sijawah kupata nafasi ya ukaribu wa kumpa anacho takiwa kujua,,pamoja na yote siku akijua hiki hakika atafaha sana,angekuwa mtu wa kusoma comments ningempa mambo haya..
  5. Rocky City

    Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Kwa hiyo makonda kaenda mkuu
  6. Rocky City

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Magereza lini mwisho??
  7. Rocky City

    Polisi wadaiwa kuua vijana wawili vingunguti

    Sasa mambo yameanza tena,sheria mkononi,unanijua mm nani ndio mda wake,nchi imekuwa ya ovyo sana kwa sasa
  8. Rocky City

    Machafu ya kiwanda cha Mkulazi Holding Campany Limited

    Bado hata usalam wao ni zero mkuu,wanaingia mashambani uko hawana hata viatu vigumu,hata sare hakuna, Wakajifinze kwa viwanda vyenye management nzuri kama kilombero. Wamechukua manager wa kilombero aliye kuwa analipwa mil 7 per month,wao wanamlipa 13 mil,bado mambo mengine. Aiseeeeee
  9. Rocky City

    Machafu ya kiwanda cha Mkulazi Holding Campany Limited

    Hiki ni kiwanda cha sukari cha Mkulazi kilichopo Dakawa ni kiwanda tunacho ambiwa kikubwa Afrika Mashariki na kati.[emoji2][emoji2][emoji2] kwa kuzalisha sukari. Mzee Magufuli alipambania Tanzania ya viwanda na huenda hicho ni moja ya jitiada zake, RIP, lakini kiwanda hiki serikali ya sasa kwa...
  10. Rocky City

    Rais Samia karibu Dumila

    Mkuu,hizi ni siasa tu hizi.leo nimepita pale tena nikiwa na dalali wangu wa madini(kila moja akiwaza namna gani amuingize kingi mwingine)nikapita pale,safari hii wanafunzi walikuwepo na uzuri kuna njia ya kupita karibu kabisa na moja ya darasa, nimeona wanafunzi wako chini,walelala humo ndani...
  11. Rocky City

    Rais Samia karibu Dumila

    Akili zako zote za kuwa jm forums ndio zimeishia hapa.. Hili nalo tatizo.
Back
Top Bottom