Recent content by Mabbyjr

  1. M

    Rais wa Gabon abwaga manyanga

    Mkuu unaweza kwenda kwenye vyombo vya habari vya kimataifa utakuta habari hii. Mfano New York Times, Reuters, CNN. Huyu Prezidaa ni mla rushwa mkubwa barani Afrika, akaunti yake iliwahi kuwa frozen na serikali ya Ufaransa baada ya kulipwa maelfu ya dola za kimarekani ili kumwachia huru...
  2. M

    Rais wa Gabon abwaga manyanga

    Rais wa Gabon Bw. Omar Bongo ameachia ngazi ya urais kwa muda kwa sababu ya matatizo ya kiafya. Rais huyu kutoka Afrika ya Magharibi amekuwa madarakani tangu mwaka 1967 amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa ambao hadi sasa haujawekwa hadharani. Wananchi pamoja na viongozi wa upinzani nchini humo...
  3. M

    Obama to visit Ghana in July.

    President Obama will rack up plenty of frequent flyer miles this summer with planned trips in Africa, Russia and Italy. President Obama will travel to Ghana for two days after the G8 Summit in July. Obama, along with his wife, Michelle, will visit Accra, Ghana, on July 10 and July 11...
  4. M

    The Next Move: Lowassa, Karamagi wakutana nje ya nchi

    Mie kitu kinachonichanganya ni kuwa Mmiliki wa Dowans hajulikani. Sasa serikali ikiamua kununua hiyo mitambo Cheque au malipo yoyote yatalipwa kwa nani?????????? Hiyo pesa, ndiyo pesa ya walipa kodi, walala PUU atalipwa NANIIII?????????
  5. M

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    Kweli hii ni hatari kwa wazee wetu. Usalama wake sasa uko mikononi mwa nani. Kuna mtu hapa lazima apoteze kazi. Je kama jamaa angekuwa na mguu wa kuku wa chuma ingekuwaje???????
  6. M

    Unaishauri vipi serikali kuhusu hizi picha..

    Mmh ako ka-msemo kana utata kidogo ndugu yangu. Huwezi kutafuta neno lingine au kiswahili kina ku-Mwalusako(piga chenga)
  7. M

    Utamu wa Maji ya Bendera: Muulize Bashe

    Mmh haya makubwa, siku hizi Gembe naye ni mtaalam wa mambo ya nyota au....................
  8. M

    Mramba anasafishwa?

    Ukipanda bangi utavuna njugu teh teh teh hiiiii hiiii haaaa
  9. M

    Kenya PM's wife rejects state pay

    Kuna baadhi ya mambo ambayo Tanzania inaiga kutoka kwa nchi zingine. Utasikia wanasiasa especially serikalini wakisema "wenzetu nchi fulani wanafanya hivi, wenzetu pale wanafanya kile. Sasa sijui kwa hili watasema vipi.
  10. M

    Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

    Tanzania ni nchi tamu sana, eti mtu alikimbia JKT halafu sasa hivi ni Waziri wa Ulinzi na JKT. Mmmh hiyo ni tamu kweli. Mie sidhani kwenye mind yake anafikiria Uraisi, atajibu vipi hilo swali. Unataka uraisi wakati shughuli za JKT ukakimbia...... Tutasubiri na tutasikia kweli anataka uraisi...
  11. M

    Kutoka Dodoma!

    Kosa ni kurudia kosa, kuna funzo kali toka kwenye kizaa zaa cha Balali. Wananchi tuko nyuma ya shujaa wetu Mwakyembe. Naamini Mungu atamjalia neema na kupata nguvu na ujasiri mara 10 zaidi ya alivyokuwa. Uhuru hauji kirahisi, kuna mapambano lazima yawepo. Hakuna aliye kipofu kutambua kuwa tuko...
  12. M

    Baada ya kusakamwa: EOTF wazinduka.

    Wananchi wengi wamekuwa wakihoji kulikoni EOTF (Ile NGO iliyo chini ya Mama Mkapa). Tangu Fisadi Mkapa amalize kipindi chake cha uongozi na kuanza kusakamwa na balaa la UFISADI, hii taasisi ilikuwa kimya kupita kiasi. Watu walianza kujiuliza kama na yenyewe itakuwa imemaliza kipindi chake cha...
  13. M

    Netherland Wautambua Mchango wa MwanaHalisi

    Jamani wana JF kama kuna mtu anafahamu mtandao wa MwanaHalisi Newspaper naomba unisaidie. Unaweza kunitumia PM. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom