Recent content by Maalim Jumar

  1. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Habar kwenu Mamlaka ya MAJI DAWASA. Tulipokea gharama ziada ya matumizi yetu. Tukafikisha malalamiko haraka ofisi zenu za TABATA SEGEREA. MKAIKALIA uvunguni barua hiyo miezi mitatu, bado tuliendelea kufuatilia malalamiko yetu bila majawabu. Mwisho timu yenu ikahamia kwetu kuchunguza tatizo...
  2. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Alo nayo ni adhab tosha
  3. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Ukiugua unatafuta utatuzi kwa mbinu zipi ndugu?
  4. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Sawa ndugu. Karibu sana
  5. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Kwani pesa zinatafutwa wapi?
  6. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Usiniamini mimi... Chukua maneno ya kundi la NYOTA yako.... Utaamini wewe moyoni mwako itatosha. Kisha ya mdomoni mwako hayanihusu ndg yangu.
  7. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Ndio vipi?
  8. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Si vyote utakavyo vijua ndugu. Unaonekana wapenda kujua vitu vyote.... Ni njia wapumbavu ndio hua mini hivyo.
  9. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Nawe umetabiri.... Mambo usio yajua nafasi yako ni kuwa MUULIZAJI.
  10. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Ha ha ha Ramli ni nin kilugha na kisharia?
  11. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Angalia ilipo tarehe na mwezi wa kuzawa kwako ndugu. Itapokuwepo ndipo kundi la NYOTA yako
  12. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Uone nin ndugu,,,
  13. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Ha ha ha kutonielewa pia ni zaid ya kutupiwa mashaytwan
  14. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Nilijua utakua ujui unachokiuliza... Wakat mwengine ujui hata unachokitaka kuijua. Alaf ukajitia kujua ilhali ujui. Ni. Kazi sana kuwaelewesha watu sampuli yako. Jinn ina maana zake... Miongoni wa maana hizo ni kitu kufichikana. Ww unataka kuona kitu kilichofichikana.... Nan JAHILI hapo...
  15. Maalim Jumar

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyota zetu.

    Mwisho wa mwaka 2021. [emoji290] Mtabiri: Maalim Abalhasan Jumar. Facebook: Mtabiri wa nyota na tiba. Youtube: MAALIM ABALHASAN Hotline: +255 713 351 781. Whatsapp pia. Email: maalimjumar@gmail.com MATUKIO YA NYOTA ZETU. LEO 23.11.2021 MPAKA 20..12.2021. Nawatakieni kheri ya kuuaga...
Back
Top Bottom