Recent content by ma2008

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za Kazi Tanzania

    WORM MUNCHALi+ NATAFUTA KAZI WE UNALETA MASIKHALA!!! HII INAONESHA KUWA UKIWA UNAPANDA NGAZI UNAWADHARAU WOTE UNAOWAPITA KWENYE NGAZI WAKISUASUA!! LAKINI KUMBUKA UNAWEZA UKAJIKUTA UNAWAHITAJI SIKU UNASHUKA NGAZI!! AU BW.MIKUKI UNASEMAJE?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za Kazi Tanzania

    KAMA KAWA NAKUPA BIG UP KWA HIZI POSTING UNAZOTUSAIDIA WANA JAMBO. USISAHAU UKIIONA TU POST YA ACCOUNTS ASSISTANT UNITONYE MOJA KWA MOJA KUPITIA: mwaka007@yahoo.com NAWE MTU WANGU ULIYEAHIDI KUNITUMIA VP! AU HUJAZIBAMBA? THANKS, GUYS.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wasi Wasi wa Udini

    naitwa MUNCHALI plus, ni mgeni ktk uwanja huu hivyo nabisha hodi.Hodi jama! leo nina swali: kwanini wa tz tunakubali kulizalilisha bunge ltu tukufu kwa kuendekeza uteuzi wa washenzi kama kina kifupa? tunapeleka wapuuzi bungeni, wakifanya upuuzi tunalaumu ama kusikitika!!! hamjui kuwa mchimba...
Back
Top Bottom