Hao ndio polisi wa Tanzania wamejifunza kuua na sio kulinda raia na mali zao hawajaanza leo tangu Gen. KOMBE Wale wafanyabiashara wa Mahenge na sasa walitaka kumwondoa Dr.ULIMBOKA lakini Mungu mkubwa wamechemka siri zote muda wa kujulikana umefika na kama serikali imehusika...
Serikali ya ccm pamoja na jeshi la polisi wakiongozwa na kova mmelaaniwa duniani na mbinguni kwa matendo yenu mnayo tufanyia watanzania ,hamna hata aibu mwogopeni mungu
Wadada elimu inawaongopea .rudi kwenye maandiko "Mungu alipomuumba Adam na Eva hakuweka usawa .hata ungepata mwanaume kutoka mbinguni kama utataka kuwa sawa na mumeo kwasababu ya elimu yako basi hiyo ndoa haitadumu
Wawekezaji gani hao wanaotaka vilivyotayari? Wazee wetu wamehangaika kufyeka pori, kung'oa visiki kwa mikono leo mnataka kuwapa watu fulani ,wapewe mapori wayafyeke na kung'oa visiki ndipo wawekeze na sio mashamba ya wazee wetu .huyo diwani wa ccm hana uzalendo kabisa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.