Recent content by Lyampinga

 1. Lyampinga

  DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

  Busara kwa viongozi vijana ni tatizo. Namuonea huruma
 2. Lyampinga

  Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

  Sitaki kuamini haya mambo, waziri kakosa kazi naona. Kama yeye mjanja awapeleke mahakamani Basi. Serikali ya vi wonder
 3. Lyampinga

  TAJA MATATIZO YALIYOWAKUNBA WATANZANIA MWAKA 2017

  Kuwa na mtukufu asiyejua anatakiwa kufanya nini ili kuleta maendeleo.
 4. Lyampinga

  Vyumaa: Leo nimemuona tajiri anagawana sh elfu tano na familia!

  Akili za mtukufu hizi, kuona wenye nazo wanapata shida. Hakuna nchi duniani inaendelea bila middle class (kwa lugha za mtaani matajiri). Unafarijika kwa vyuma kukaza kwa mtu baki, akili hizi unazipata chattle tu
 5. Lyampinga

  Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

  Safi sana, naona kazi ya kutetea dhuluma imeanza
 6. Lyampinga

  Ucheleshwaji wa kupata passport, nini kinaendelea Uhamiaji?

  Lingekuwa jambo la busara kama idara ya uhamiaji ingetoa tamko kuhusu ucheleshwaji wa hati za kusafiria.
 7. Lyampinga

  Ucheleshwaji wa kupata passport, nini kinaendelea Uhamiaji?

  Hauitaji sababu zaidi ya kuwa na dhumuni la kwenda nje, shida hamsomi sheria, tunatumia ubabe zaidi, nimekuwekea jinsi ya kupata passport kisheria na hakuna takwa linalotaka uwe na sababu zaidi ya kuwa na nia ya kwenda nje ya nchi.
 8. Lyampinga

  Ucheleshwaji wa kupata passport, nini kinaendelea Uhamiaji?

  Ni wajibu wakila mtanzania, tena kikatiba kuwa na hati ya kusafiria iwapo atakuwa na safari nje ya nchi...
 9. Lyampinga

  Ucheleshwaji wa kupata passport, nini kinaendelea Uhamiaji?

  Nimekuwa nafuatilia passport tangu mwezi wa saba mwaka huu, kila siku napigwa kalenda. Passport ilitakiwa kuchukuliwa mwezi wa nane lakini mpaka leo bado. Ukifuatilia unaambiwa nenda makao makuu, kule napo wana majibu ya rejareja kweli, unaambiwa passport yako bado, bila kuambiwa iko hatua gani...
 10. Lyampinga

  Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

  Magufuli inabidi asikilize ushauri wa watu na aache mambo ya you can’t question rais. Wengi kwenye mioyo tunasononeka na yeye, tunamuachia mungu tu, na mimi sio mpiga dili kama ambavyo yeye anapenda ku ‘generalize’
 11. Lyampinga

  Du! kumbe Meli ya Kichina ilitoa huduma bure Djibouti, Gabon, Sierra Leone, DRC, Angola, na Msumbiji

  Lakini kwa Tanzania kwa maneno ya Mkuu wa Mkoa mheshimiwa Rais amelipia matibabu ya bure kwa wananchi wa mkoa wake.:(
Top Bottom