Recent content by Lutter

  1. Lutter

    Vivo Y93, wataalamu wa simu msaada

    Kwa India ikiwa mpya (3GB RAM na 64GB ROM) inauzwa kati ya Tshs. 380,000 hadi 470,000. Utofauti unatokana na msimu, wauzaji na rangi pia. Kuna rangi ni ghali kidogo kuliko nyingine, kuna msimu una offer nyingi so kunakua na punguzo kiaina.
  2. Lutter

    Kama unaenda kwa Mkapa leo kuishangilia Zesco kapimwe akili

    Mkuu sikuwahi kujua kwamba na wewe ni kilaza namna hii, kwenye hili naomba ukaanze kupimwa akili wewe mwenyewe. Umesahau mwaka jana mpaka nlijifunza Ki-Congo, au ulidhani malipo ni hadi mbinguni?. Wenye uwezo wa kushangilia acha washangilie labda mtajifunza.
  3. Lutter

    Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

    Naungana na ww kwenye hili, japo utakua hujatenda haki kama hukumuambia kama una allergy na condom. Pengine hakuona point ya kupima alafu avae condom ingawa usalama ni muhimu kuliko raha ya siku moja itakayoleta majuto ya milele. cutelove,
  4. Lutter

    Bachelor of Agriculture Economy and Agribusiness

    Mkuu ni "Agriculture Economics and Agribusiness (AEA)"
  5. Lutter

    NENDENI UWANJANI ILI MMLAUMU ZAHERA VZR ACHENI POROJO MASHABIKI WA YANGA.

    Ukishakua na tabia ya kulalamika lalamika kila kitu utaona unaonewa, wananchi gani hata uwanjani mnaogopa kwenda?. Alafu Simba ikicheza mnaenda kushangilia wageni, mchango wenu kwenye Yanga ni upi sasa?, kusubiria bakuli au kulalamika?. Acheni hzo bhana.
  6. Lutter

    English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

    Tanzania Postal bank waliamua kufanya rebranding kama walivyofanya NMB na CRDB. So neno TPB ni brand name na neno Bank linaonesha huduma inayotolewa. Kwahyo TPB Bank ni sahihi, NMB Bank ni sahihi na CRDB Bank ni sahihi.
  7. Lutter

    Lap top aina ya Asus inauzwa

    Mkuu weka picha na specifications zake, vinginevyo taarifa hizi hazitoshi kushawishi mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Lutter

    Askofu Malasusa na kura za KKKT!

    Kaka mm sio shabiki wa upande wowote ila ulichoandika leo ni utumbo na kudhihirisha ukilaza wako
  9. Lutter

    Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

    Mkuu inawezekana wewe sio mtu wa mpira, Brazil wenyewe walishawahi kufungwa goli 7 pamoja na mastaa walionao. Taifa stars imecheza vizuri by the way
  10. Lutter

    Asilimia kubwa ya wanao nyoa vipara wana umeme

    Mkuu sikujua kwamba na wewe ni mjinga kiasi hiki.
  11. Lutter

    Ubabaishaji TBA, waanza kuwatokea puani!

    Katika video hizo na audio hakuna sehem waliyokanusha kupokea fedha, so ni wazembe tu.
  12. Lutter

    Msaada namna ya Kuhama faculty

    Mkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofauti
  13. Lutter

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Namm nna shida na hii njia ya pili mkuu
Back
Top Bottom