Recent content by lunyiliko

  1. L

    Hongereni sana Kampuni ya usafirishaji Kimbinyiko

    Uko sahihi mkuu. We must differ in test because of reasoning skills.
  2. L

    Hongereni sana Kampuni ya usafirishaji Kimbinyiko

    Hahahaaa. Siwajui wamiliki na siko interested kuwajua. But i'm comfortable with their services.
  3. L

    Hongereni sana Kampuni ya usafirishaji Kimbinyiko

    Hili sio tangazo. Mimi ni mtumiaji wa huduma. So, i'm free to give out my opinions which perhaps may act as catalyst for others. Tunahitaji ubunifu kama wa hawa jamaaa ili tuweze kupiga hatua.
  4. L

    Hongereni sana Kampuni ya usafirishaji Kimbinyiko

    Its not your default. If ur not interested with my story you better keep quit ! This story may act as a challenge to other service providers so that they improve their services.
  5. L

    Hongereni sana Kampuni ya usafirishaji Kimbinyiko

    Naomba ku-declare interest mimi sina uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya Usafirishaji Kimbinyiko. Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara kutoka Dar kwenda Dodoma and vice versa. Mabasi ya hii kampuni ni classic, huduma safi, wahudumu wachangamfu na nadhifu, ukiketi kitini unaweza kudhania upo ndani...
  6. L

    Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

    Siko Sina haja ya kubishana na wewe na ofcourse wewe sio hadhi yangu. Nimekupa ushauri. Kwa kuwa wewe ni mpumbavu, huwezi kunielewa. Vipeperushi hivyo unavyoweka na vingine vingi tu vilivyotengelezwa na watu wa aina yako vipo. Unaweza kuviweka utakavyo. Ninachotaka kukuhakikishia ni kuwa huwezi...
  7. L

    Papa amvua Kardinali Theodore McCarrick madaraka kwa kubaka mtoto miaka 50 iliyopita

    Soma vizuri maelezo yangu. Huwezi kuhukumu Kanisa kwa makosa ya waamini wachache ati ni Kanisa la mashoga halafu tunakuangalia tuu. How sure you are kwamba huko unakoabudu kuko salama ? Acha uchochezi wa kijinga. Wewe ni sawa na watu wanaohukumu Uislamu kwamba ni magaidi huku wakujua kwamba si...
  8. L

    Pongezi nyingi kwako Mheshimiwa Rais Dr. John pombe Magufuli

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Kwa kifupi Rais anafanya kazi kweli kweli. Haihitaji kuwa na cheti au diploma kuona kazi tangible kabisa zilizo na zinazoendelea kufanywa na mheshimiwa Rais JPM na serikali yake. Panapo mazuri, tuipongeze Serikali yetu kwa dhati kabisa. Its not about...
  9. L

    Pongezi nyingi kwako Mheshimiwa Rais Dr. John pombe Magufuli

    Kwa mara ya kwanza leo nimepita barabara ya KIA -Mirerani na kwa macho yangu nimejionea uzuri na uimara wa barabara ya lami iliyozinduliwa na Mh. Rais hivi karibuni. Kwa wanaofahamu barabara hiyo kabla ya kuwekwa lami, watakubaliana na mimi kwamba kazi kubwa imefanywa na Serikali ya JPM katika...
  10. L

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Huna maana wewe. Nenda mkaendele kudanganyana huko. Sio kila mtu ni mwehu kama ulivyo. Chezea vyote lakini ukicheza na Kanisa la Mungu, utaangamia wewe na utaliacha Kanisa likiendelea kufanya kazi zake za kitume. Ninaposema Kanisa la Mungu simaanishi Katoliki peke yao, namaanisha Wakrito wote...
  11. L

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Hamueleweki nyie. Mara umsifie Martin Luther, mara umponde mfuasi wake Kalobe kwamba karithi kutoka kwa Martini Luther, kwa kifupi umekuwa mjuaji lakini unahitaji kujifunza bado. Sijui unataka andiko gani tena kila ulichoomba umepewa. Wasabato naturally ni wabishi. Mnapenda ubishi hata kwa...
  12. L

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Badala ya kusoma kwa tafakuri, unakopi na kuniletea propaganda zile zile. (Halafu unafanya makosa makubwa kwa mujibu wa sheria yenu ya kisabato kutukana wakati sabato kwa mujibu wa mama yenu) imekwishaanza. Nakushauri kalale ujiandae na sabato maana imekaribia mkajifunze matusi mengine.
  13. L

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Usiseme ni pumba, someni hata mpate ufahamu. Kakobe sio Mkatoliki ambao unawatukana kila siku, naye kasema yake kuhusu SABATO. Kukopi sio dhambi, muhimu ni kujifunza.
  14. L

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Unanipotezea muda wa kulala tu. Umeshindwa kuonyesha katika agano jipya ni wapi pameandikwa ikumbuke siku ya sabato na kuitakasa, unaleta porojo. Kwa faida ya wasomaji wengine, pitieni andiko la Mchungaji Kakobe. Huyu yeye sio Mkatoliki ila anaabudu Jumapili. Kwa wale wasabato, mapovu ruksa...
  15. L

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Hujui kitu nakuhakikishia. Nionyeshe katika Agano jipya wapi Mitume wa Yesu waliambiwa waikumbuke sabato ile amri aliyoitoa Mungu kwa wana wa ISRAELI baada ya kutoka kule utumwani Misri. Acha kukariri maandiko.
Back
Top Bottom