Recent content by Ruble

  1. R

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Mabwege walikua wanatupiga kamba kwa kua hakukua na internet zama hizo. Watu walikuja kutujengea reli halafu waseme tulikua nao sawa. Akili ya wapi hii? Sisi wakujilinganisha nao labda Cambodia kwa kipindi hicho 😃
  2. R

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Sire God alitunyima akili makusudikally
  3. R

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Au nina bet TZ itaendelea kua na umeme wa kusuasua hata miaka 20 ijayo licha ya mradi wa umeme bwawa la Rufiji. Odds 100,000 😆
  4. R

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Ikitokea kampuni ya kamari ikaweka bet kuhusu maendeleo ya Tanzania nitaweka pesa zangu zote ku wager bet against Tanzania.
  5. R

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Nimemuongezea Mauritius na Cape Verde
  6. R

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Itoe na Botswana na Mauritius na Cape Verde.
  7. R

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Nilitaka uliseme hilo mwenyewe 😃
  8. R

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Nimeingia mbona hakuna taarifa zake za msingi zozote zinazotokea?
  9. R

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Duh kumbe tusimlaumu bure. Hatari sana!
  10. R

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Nyerere alituingiza matatizoni.
  11. R

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Kulikua na haja ya hayo maneno ya mayai viza?
  12. R

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Na bara tunaogopa kwanini? Kusema suala la usalama?
  13. R

    MPYA Kunywa maji ya Baridi wakati wa Ujauzito husababisha kupata mtoto mwenye matatizo ya kifua

    Wanawake wanafanya makosa mengi wakati na kabla ya ujauzito yanayogharimu watoto kuzaliwa na hitilafu.
  14. R

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Mtaani tunalitumia kutokana na neno la Kiingereza 'dame'
Back
Top Bottom