Recent content by loyalty

  1. loyalty

    Natafuta Business partners, basically iOS developers

    Ni kweli, na percent umepatia kabisa mkuu. Margins zake ni hizo ukiwa ume-download. Ila kabla ya apps, bora ufanyie SEO huko kwenye makampuni ya mbele. Uwe na traffic ya hot niches, say "buy a house in manhattan" imagine CPC yake ya Adwords, na imagine kama optimizer ukaweza ku-compete nao. Hata...
  2. loyalty

    Natafuta Business partners, basically iOS developers

    nina uhakika optimization ya app haichukui muda kama ya tovuti, na ni njia rahisi mbadala. Kama una ujuzi, unaweza ku-save sana. Mfano, mtu anayelipia adsense au anawalipa influencers wa social media hela nyingi itamtoka. Ila soko la bongo, kwenye optimization halijawa saturated. Kwahiyo...
  3. loyalty

    Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

    Mimi nimejaribu sehemu nyingi sana, licha ya kuwa nilianza kujiajiri nikiwa chuo. Ila kuna wakati mambo yanakuwa magumu. Na kusema ukweli suala la ajira bongo ni kitendawili, wengi wanapeana na sioni kama zina future sana. Mfano, Bank Teller au Dada Muuza Vocha. Ajira zao zitakuwa replaced soon...
  4. loyalty

    Natafuta Business partners, basically iOS developers

    Kama unafikiria hivyo, sawa. Mimi sina cha kunufaika kupitia kung'onga watu.
  5. loyalty

    Natafuta Business partners, basically iOS developers

    nita outsource kwa marketers wa nje, ila i work over 12 hrs. i guess 30mins mara tatu kwa wiki itatosha. Natumia BH/GH ambazo zinahitaji muda mwanzoni kutokana na ugumu.
  6. loyalty

    Natafuta Business partners, basically iOS developers

    Natafuta Business partners, basically iOS developers. I need at least two apps created every month and to be placed on Apple Store. We will help each other as i have JS knowledge, i just started Swift. Paycheck is good, plus incentives like iphone for testing the apps, macs, ipads and even house...
  7. loyalty

    Maswali kuhusu Reseller Program ya Amazon

    ila kwa kifupi, bora uuze kwanza afu ndio ujaribu kuwa na inventory yako. Mimi sijawahi kushika some of the devices that i sell. They just get dispatched straight to the client. Pretty Dope bruv
  8. loyalty

    Maswali kuhusu Reseller Program ya Amazon

    E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon, ambayo hurahisisha na kusaidia ufikishwaji wa mizigo mbalimbali kupitia mtandao. Kuanzisha biashara kama...
  9. loyalty

    nahitaji google playstore account

    mimi nina ya Apple ila sijaweza kununua au ku create even a simple app. If there is one with an app, anaweza kuweka tu-test admob!
  10. loyalty

    Web developers na SEO optimizers msaada tafadhali

    Kwenye settings kuna lang by ip. Na scripts za kuibadilisha automatically kutokana na Location yako. Kwahiyo, if all the pages are indexed. Basi zitapata nafasi tokana na searched terms/keywords.
  11. loyalty

    Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Nikola Alikuwa na Patents nyingi sana. Angeweza kuwa a Trillion Dollar Man in our Era, worthy ya Brains za Nikola Tesla, it's like if Jeff Bezo's Son had a kid with Gates' Daughter afu azaliwe na Brains kama za Elon Musk hivi.
  12. loyalty

    I need to develop a human computer computer interface

    ila unge-invest in apps, ungekuwa na wider range of choices etc.
  13. loyalty

    I need to develop a human computer computer interface

    If i were you, i'd assemble the smartwatches. Several, Order abroad parts or a few smartwatches. Then try to break and study which sensors are detecting all the movements, heart rate blood pressure etc. And then come up with your idea, interface and programming of your chip. If you take off...
  14. loyalty

    Viagra za kike sokoni

    Yaani mimi wamenishangaza sana, juzi niliangalia kwenye news. Ndio nikaona, kwenye CBS walivyozitangaza. Na wanawake wanacheka tuu youtube. Kweli Mungu atunusuru.
  15. loyalty

    Nahitaji shamba la kukodi Eka 1+, Dar es salaam

    Kuna kiwanja kinauzwa, sq mt 1600 kama sikosei. Jumla ni takribani hekari, kinauzwa 44Mil. Kama uko serious nicheki. Kipo karibu na Hardware ya Ashuba. Na a park ya leisure park ya kwenda Snake park kule.
Back
Top Bottom