Recent content by lolypop

 1. lolypop

  Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

  Naona harakati za kumng'oa zishaanza
 2. lolypop

  Serikali ya Iran yakana kuwashambulia waandamanaji

  Mm naona iran achapwe tu ili mitandao ya kijamii itulie, na pengine tutamfahamu nani ni bingwa
 3. lolypop

  Baada ya kupigwa na Iran, Marekani inabadili goal post

  Kama hujaelewa kaa pembeni!
 4. lolypop

  Baada ya kupigwa na Iran, Marekani inabadili goal post

  Ngoja nikwambie kitu leo nimezungumza jwtz na zaidi tulikuwa tunazungumzia huu mgogoro wa iran na usa. Kiukwel iran hamuwezi Usa na wa usa wanachofanya sio inatafuta amani ila wanataka watu wapoe wapunguze mihemko ila muiran apigwe kimya kimya. Tazama hapo vile iran ilivyozungukwa na USA.
 5. lolypop

  Baada ya kupigwa na Iran, Marekani inabadili goal post

  Mnaotaka vita ni nyie washamba wa mtadaoni, ukweli wa haya mambo wanayajua wao wenyewe
 6. lolypop

  Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

  Taarifa inasema taarifa mkuu!
 7. lolypop

  Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

  Husomi taarifa mkuu!
 8. lolypop

  Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

  Teh teh teh mwarabu bana ukimuacha usimpige anadai unamuogopa, ukimpiga umemchokoza lazima nilipe kisasi
 9. lolypop

  Iran yakataa kukabidhi Black Box kwa Boeing

  Akili za waumini ya hii dini ya mnyazimungu zimekaa kihasira hasira na ulipaji kisasi. Sasa wameua ndugu zao wengi ili kimkomoa Usa. Hawa wanatakiwa power yao iwe minimised ili kuepuka hizi athari
 10. lolypop

  Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

  Gaddaf alipendelea zaidi upande familia yake na wote wenye vinasaba vya ukoo wao.
 11. lolypop

  Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

  Mkuu haya tunayaona sasa sababu tuna njaa kali, hata kipindi cha kikwete, mkapa yalikuepo
 12. lolypop

  Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

  Mkuu ni ngumu sana, hata hao wanaohubiri democracy haifwati ila wanachofanya ni kuhakikisha wananchi wao wanafedha hawalii njaa. Unajuwa kiongozi akihakikisha wananchi wake wanamaisha mazuri yaan Huduma zote muhimu anawapatia maji, umeme n.k uchumi mzuri huyo kiongozi hata akiwa dictactor...
 13. lolypop

  Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

  Mkuu hakuna namna kwa kabenderera ila ni kuwa wavumilivu tu tungoje wakati.
Top