Habari zenu wadau,
Kuna rafiki yangu m1 anahitaji kununua kiwanja chenye hatii ukubwa angalau 25*35 maeneo ya Tegeta, goba,Bunju, mbweni, mbezi mwisho, kimara, kibamba na kibaha bajeti yake ni Mil 5. mwenye nacho anijulishe ili nimpe mawasiliano na huyo jamaa. Yeye yuko ni mjeda yuko mkoani...