I read this in early 2000s, such a depressing book. The author tells his misfortunes in a light funny way but gosh, this book is sad. I have also read his other book ‘Tis
House for rent:
Three bedrooms one is master
Two public toilets
Wardrobes in all three bedrooms
DAWASCO Water available plus reserve tanks of 1,2000 Ltrs
Sharing compound - 2 apartments in one compound
AC & Water heater
Separate LUKU meter and Water meter
Near main road
Tabata Bima
Asking price...
Two bedroom house for rent in Tabata Bima Dar es Salaam. Near tarmac road. Fenced, 2 car park space, independent LUKU & water meter, reserve water tanks 7,000 ltrs, 3 toilets (one is outside), one masterbedroom. Call 0742955155/0713955155
Samahani sana kumbe nilisahau kuweka bei. Ni TZS 550,000
Lara 1 ulimsahau kabisa Monica na Frank wake. Ile RAV 4 ya mama muarabu Monica aliielewa? Did she pull up her socks mambo ya kutunza nyumba? Hats off my dear unajua kutushika
Ndio faida ya kuachia sekta muhimu kama transport kwa watu binafsi, hapo ingekuwa public transport iko chini ya serikali haya matatizo yangeratuliwa kwa ueahisi zaidi
Ndugu nje ya nchi wako wengi, sikumbuki any particular registration ya USA maana hata kufika sijawahi labda kama iko associated na Europe maana huko nishawahi fika so registrations zipo
Habari za kazi wanajamii forums
Leo mchana nimekuta miss call toka namba hii +1 (646) 205-0801, nilipojaribu kuipiga nikajibiwa na recording machine kuwa " I have reached immigration USA, if blah blah .....,,". Nimejiuliza maswali mengi sana. Je kuna aliyewahi pata kitu kama hichi? Ni matapeli...
Mmedumu miaka 9, mlikuwa shule ama tayari uraini. Kama shule I can try to understand labda mlianza mahusiano mkiwa form 1 kama uraiani duh mvumilivu huyo dada...mie ningeibeba na miaka 5 tu na wala nisingekuomba radhi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.