Recent content by Levis M Chalangwa

 1. L

  Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

  Maombi ya kujiunga na chuo hapa ni mpaka pale NACTE watakapofungua dirisha kwa vyuo vya elimu ya kati kuanza kupokea maombi ya udahili.Mara nyingi ni kuanzia may au june.Wakifungua tu NACTE dirisha,tuma maombi lazima utachaguliwa tu.Karibu sana MATI MLINGANO!
 2. L

  Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

  Inatolewa hapa kwa mwaka mmoja ikiwa tu umesimama certificate of general Agriculture.
 3. L

  Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

  Ndugu yangu,Simu inatumika kumuunganisha mtoa huduma na mhitaji huduma tu.
 4. L

  WanaJamvi Salaam.

  Naomba kujua ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations hasa fabrication za mashine mbalimbali zinazohusiana na kilimo na mifugo?
 5. L

  Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

  Hapana.Hatuuzi zana za kilimo ila tunatoa ushauri,na utaalamu wa matengenezo na marekebisho kwa wenye matatizo ya Mashine na zana za kilimo kwa ujumla. Wasiliana na makampuni yanayojihusisha na uuzaji wa za za kilimo kama vile AgriCom,LonAgro N.k
 6. L

  Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

  Kwa wale wanaotafuta ushauri,Elimu Na Msaada Wa Jambo Lolote Kuhusiana Na Mashine na Zana Za Kilimo Kama vile Matrekta,Planters,Sprayers,Ridgers,Cultivators,Ploughs,Na Nyinginezo,Tuone Tutakusaidia Kwa gharama Nafuu kabisa. Tunapatikana Muheza Tanga Ndani Ya Chuo cha kilimo MATI Mlingano...
 7. L

  Ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations?

Top