Recent content by lambie

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anachelewa mno kumaliza 2tu nachoka hoi.

    duh huo mtaa soo.... !! anayechelewa kumaliza hana steam and anayewahi ana papara sana:tonguez::tonguez:
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau nimtafune?!

    chakacuia hiyo koli.... :llama:
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

    hapo salama studz, dume, nk nk nk
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathalan umekutokea mtihani kama huu utafanya mamuzi gani?

    Hapo ni kumtimizia haja yake kwa kinga lakini.
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumwa wa Mapenzi...(?)

    mapenzi ni mapenzi tu.
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mpenzi mrefu na mfupi

    nenda uwanja wa fisi ukatest ladha zote utapata jibu.....
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi gani inamfaa huyu

    huyu badboy hana akili na ni toto dogo.....acha kuweweseka dogo soma na fikiria mambo mengi upo level ya chuo fanya research au omba tempo. think think!!! sikushauri chochote zaidi acha uzembe na hapa jamvini umeonekana muongo sana na unapapalika na mapenzi.
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani Hapa Mapenzi yapo?

    inshort dada achana na huyo jamaa kabisa atakuharibia zaidi.... jiamini tulia na zaa mtoto na ukiona kuzaa shida sana abort kama ujauzito haujazidi 2months. ni hayo tu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

    katu hajazaliwa...!!!
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am sorry mabinti wa kichagga

    tujadili tabia na mienendo ya mke mwema. kabila si tatizo.... najua hapa kuna siri na ishu kubwa ambayo kama tunafanya utani tutakosa kuelewa na haina haja ya kulumbana hovyo. ninavyojua mimi ni kwamba matatizo mengi ya kijamii yanatokana na mazingira na mfumo mzima tunaoishi ndani ya...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania huyu demu simuelewi kabisaaa!!!

    jamaa kakolea na demu katambua.....hapo ni kukuzingua tu, kaka usiwe na haraka na game. kiakili kuwa nae kawaida tu kama mshikaji lakini endelea kumchunguza...ila kama ni mwanafunzi wa sec esp o level sishangai.....
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unatafuta mke? Basi usihangaike tena......

    sijambo jipya sana kumtafutia mtu mchumba...cha muhimu mtafutaji anakuwa makini maana anavaa uhusika wa mhusika/mme na kwa kiasi fulani anamsaidia sana kumuunganisha na manzi na uchumba huanza, ngoma lazima wapime. suala la matatizo mbeleni ni ishu nyingine. ni utaratibu tu wa kawaida na ktk...
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwezi amini hichi kitu kinaweza kutokea..(soma kisha hiki)

    wangemshirikisha padri maana yeye hana mke na ni mtunza siri
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Profile ya Kanumba... kaiandika mwenyewe

    hiyo imetulia sana....... sina mengi. ila wengi wetu wa TZ ni waswahili sana. nadhani naeleweka ninaposema waswahili...locality. jamani tubadilike....tujadili masuala muhimu ...lugha ishu ndogo sana. nivema tukajadili masuala na si watu.....
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tunaitaji wafanyakazi jasiri kama huyu asiye na nidhamu ya uwoga

    naombeni number ya simu ya huyo mwandishi nimpe kazi haraka....she is intelligent. ATCL majungu sana pale. hawana vision
Back
Top Bottom