Recent content by Bi dentamol

  1. B

    Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Tena nitampokea mgen nipo maswa aje na maokoto ya kutosha tukatembee mnadan...kuna bariadi kuna mnadan senani, kuna maswa hapahapa... Kuna mhunze kishapu ...karibu sana mgani
  2. B

    Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

    Usichukulie poa maumivu inaweza kia endometriosis
  3. B

    Wanaume njoon mnipe jibu

    Kama ni hivyo mbona dada zako hauwatongozi?
  4. B

    Wanaume njoon mnipe jibu

    Haujaelewa nimesema marafiki, jiran lkn hao ni watu baki kwann mme usimuheshimu tu mkeo ukaenda mbali
  5. B

    Wanaume njoon mnipe jibu

    Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo??? Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu?? Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na...
  6. B

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    Namimi ni mhaya aisee na mama yangu aliniambia mama yake alikua hivi yan bibi yangu,,, bahati yake alipata mwanaume anaempenda sana mpaka kumpikia anampikia na kumtengea.....mi siyataki haya mambo nataman niwe mke mwema
  7. B

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    Ndio sielewi sasa mimi ninanini?
  8. B

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    Mkuu unaweza kunisaidia kuvipata?? Napoelekea nitapoteza kilakitu.
  9. B

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    Watu wa nje hapana...wa ndani, Mfano watoto , wasaidizi wa kazi yan muda mwingi kuwafokea tu hata wakikosea kidogo..watu wa nje wananiona mimi mpole sana
  10. B

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...
  11. B

    Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Nilikuta msg za mapenz anachat na rafiki yangu akaninyakua cm akafuta ushahidi akakataa hana mahusiano nae, Mungu alivyomkuu baada ya wiki 1, wakajirecord wanaongea mambo ya mapenz na jinsi mechi ilivyokua na hawakujua kama cm inarecord....nikaja sikiliza kilakitu
  12. B

    Wataje(mtaje) rafiki zako wa humu jukwaani

    Tupo maisha yanatuvuruga
Back
Top Bottom