Recent content by Old - Hand

  1. Old - Hand

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    wakazikilize na Hatia VI ya Dizasta vina
  2. Old - Hand

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Sasa unamshauri asome biblia akati wameandika wadau wa fundi seremala bro
  3. Old - Hand

    Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

    humu kuna madogo wengi saana....
  4. Old - Hand

    Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

    na ukiwa makini isichafuke basi utachafuka wewe mambo yako hayatoenda Kwa wakati kamwe. kuchafuka Kwa payslip ndio kusafishika kwako... la msingi ukishajua umeichafua payslip hakikisha unakua makini na we usichafuke
  5. Old - Hand

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    yah ndio shida na ndio maana utajiri wao hauna burudani..... Hali vizuuri Hana gari Kali... watoto hawaendelez Mali. yaani vurugu tu. utajiri mzuri ni wa kibiashara halali, siasa, shule... unaenjoy saana majumba, biashara magari makali
  6. Old - Hand

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    oya iyo Ottawa ni nyoko bro...
  7. Old - Hand

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini... mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo. mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana...
  8. Old - Hand

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    kama umri wako sio mdogo basi haupo vizuuri kwenye utafiti songea kuna akina Ottawa, matomondo, mwilamba... we unataka super feo kisa umeona mabasi
  9. Old - Hand

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Kwa Hali zetu za maisha walau ubora Kwa pesa chache tv Hisense na Samsung. fridge homebase , Hisense AC gree, sanyo, midea, Samsung. simu Infinix pasi Phillips. home theater Sony.
  10. Old - Hand

    Abarikiwe anayeibariki Israel alaaniwe anayeilaani Israel

    wanapelekewa moto na Wanamgambo wa hamas
  11. Old - Hand

    Rais Samia awapa Coaster mpya shule ya wasichana Lindi, atoa onyo kali kwa watakao litumia kwa sendoff na kitchen party

    ni wajibu wake Tena Kwa pesa zetu... sema kaza kuna mkeka unatoka siku sio nyiingi
  12. Old - Hand

    SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    aah aah sio wa TiSS wetu utoe taarifa ya kiongozi badala waifanyie kazi watakuja kukubananisha wakuulize we umetoa wapi taarifa mara unachafua viongozi watakupa kesi kibao mwisho wa siku utahitajika kuisaidia polisi .... tupo local saana hii Nchi taaluma inaingiliwa na siasa , recruit ya...
  13. Old - Hand

    Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

    aah aah ghorofa haijengwi Kwa pesa ya kusikilizia.... mara ya kwanza naona ghorofa ya jiran yangu inajengwa nilichanganyikiwa saana mikuchu ilivyokua inapotea.... naenda now maduka ya ujenzi ananunua vitu vya million 300 vinamalizika ndani ya siku 3 tu ..... aisee ujenzi ni nyoko. tulibeba...
Back
Top Bottom