Recent content by La Quica

  1. La Quica

    UZUSHI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

    Nimepita group moja ya WhatsApp nimekutana na hii post. Je ina ukweli ndani yake. Je ina maana privacy/end-to-end enryption hakuna tena? Hii hapa👇 Hapa kuna mabadiliko muhimu kuhusu sheria mpya za mawasiliano kwenye WhatsApp na simu za WhatsApp (simu za sauti na video) ambazo zitatekelezwa...
  2. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    12m ndio idadi ya watu wazima Tz? Nimekuuliza kwanini kila mtoto asipewe kama raia kwa kuzaliwa?
  3. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    CSR? Unaniuliza kwamba sijui Corporae Social Responsibility? Nachouliza bila Barrick serikali inashinndwa miaka yote kujenga hiyo lami ya km 130?
  4. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Nimekuuliza bila Barick kuingilia serikali haiwezi kujenga hicho kipande cha km 130 tu?
  5. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Unataka kuniambia kuwa Watanzania million 10 tu ndio wako over 18? Je serikali haiwatambui walio chini ya 18 kama raia? Kwanini kitambulisho cha utaifa kisitolewe kwa kila mtu hata mtoto anapozaliwa? Huna akili mbuziii.
  6. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Nchi yenye watu million 60+ mnashangilia kupatikata vitambulisho million 10? Nyie kuku mnaotembea na vibegi mjini akili zipo kwenye vibegi vyenu.
  7. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Upumbavu mtupu. Serikali inashinda kuweka lami Kahama to Geita via Kakola mpaka Barrick waingilie kati?
  8. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Kuongezeka kwa MRI ni tija? Je masikini waiojiweza wana access ya hizo amchine. NHIF wamepunguza huduma kwenye bima. Ingekuwa kaleta bima ya afya kwa wote angalau ningeona ni tija. Nichagueni niwe rais nitaleta bima ya afya kwa wote buree. Mbunge anatibiwa Apolo huku mlalahoi anatembea na...
  9. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Wewe umewahi kutoa maoni gani?
  10. La Quica

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Basi acha tusherekee maana umeme upo full time.
  11. La Quica

    Vijana wa Arusha wasaidiwe kama kundi maalum

    Kila mtu afate mambo yake.
  12. La Quica

    Israel itapeleka Ukombozi Iran, Iraq, Syria na hata Jordan

    Sio kirahisi hivyo. Jamaa wakiingiza tu infantry (vikosi vya ardhini) Gaza kitanuka. Iran wamesema wataigeuza Gaza kuwa makaburi ya hao waisrael. Wakati huo Hezbollah anaendelea kumtandika Israel kutokea Lebanon. Israel atakuwa anashambuliwa kutoka kila upande na ujue pia leo wamelipua runway...
  13. La Quica

    Bondia Hamis Mwakinyo afungiwa kupigana Kwa kipindi Cha mwaka mmoja

    Heading: Hamis Body: Hassan Which is which?
  14. La Quica

    Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

    Kuna sister mmoja yeye alikuwa mpangaji kwetu. Alikuwa mjamzito na alikuwa anakunywa sana pombe tena kali hizi. In the end alipata miscarriage. Nae pia alikuja kufa kwa ajali ya toyo akitokea kwenye harakati zake za pombe. Sadly ameacha watoto wawili wakike mmoja alipata ulemavu (5 years old)...
Back
Top Bottom