Recent content by kyemo

  1. kyemo

    Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

    Ilikuwa around 4 points kadhaa though hili tatizo la kiu ndio linazid kila kukicha
  2. kyemo

    TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    Mjiandae muda c mrefu wataongeza na bei yenyewe
  3. kyemo

    INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Mkuu nisiwe mnafiki,Mimi sijaona nguo nzuri apo ya kuuza bei unayouza.Nakushauri nunua za grade ya juu zaidi.Nway nakutakia kila la kheri na mapambano.
  4. kyemo

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Shukurani,nitawacheki.
  5. kyemo

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    sio kwa kujitolea tu,niliwaambia had kuwalipa wakagoma,ss nifanyeje apo.
  6. kyemo

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Wanaofunga mara nyng hawatak kutoa ujuzi,sijui kwa nn.Nilishajaribu sehem 2 imeshindikana.
  7. kyemo

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Ahsante sana Mkuu.Mungu akubariki.Cheti kwangu sio muhimu sana nachotaka ni ujuzi tu au unamaanisha cheti unapata ila hujaondoka na kitu kichwan?wapo sinza sehem gani?
  8. kyemo

    Naomba kujuzwa Chuo kinachofundisha ufungaji wa CCTV camera

    Natafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni radio ipi coz nilikua napita mtaani.
  9. kyemo

    Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

    yani km dereva wa howo ndie kaambiwa mwenye makosa,inathibitisha ni kias gan polisi uwa wanabambikia kesi watu hovyo bila hata aibu.
  10. kyemo

    Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

    unatafuta kutukanwa tu
  11. kyemo

    Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

    kutoka jasho ni kwamba unakuwa dehydrated so kiu ya maji inakua kubwa
  12. kyemo

    Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

    nitafanya maybe baada ya miez miwil tena
  13. kyemo

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    poa,hakuna shida
  14. kyemo

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    mkuu nina sehem yangu ya biashara nimefungua,tunaweza fanya biashara kwa kunipa mzigo and then mdogomdogo tunamalizana.
  15. kyemo

    Brela ni Kizingiti, hawaendani na Kasi ya sasa

    hili limenitokea mm,bahat nzuri nimesajili nimefika kuendelea system ikagoma,baada ya cku kupita ikafuta jina langu nikaanza kusajili upya nakuta jina langu tayari lina watu zaid ya mmoja. imebidi niwe mpole tu. Cha ajabu wameweka namba zao zaid ya tatu ambazo hazipatikan milele daima.
Back
Top Bottom