Recent content by Kubingwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Kongamano Kubwa la Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi Arusha Mjini

    Ukumbi wa kawaida mnoooo tena ni baa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

    Duuh kwani urefu unaanzia ngapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

    Hata mimi nahitaji na nipo Dodoma
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu manzi nimwambie maneno gani ya kumuacha ili asijisikie vibaya

    Kumbe ulish afanya maamuzi ya kumuacha ila ni jinsi ya kumuacha ndo ngoma nzito. so hapa unatafuta ''HOW"
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa wenye herufi "M" kwenye kiganja wana bahati sana?

    Nina M lakini Mguuni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii awasimamisha kazi Maofisa wa misitu

    Good start! Wanyama bila misitu kazi bure
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Samahani kwa kudandia hoja. Ila nami nina tatizo hlo hlo la sikio huu mwaka wa 20 sasa 1.ni la kushoto. 2.linatoa usaha hasa sehemu za baridi na kama kuna mawingu mazito 3.likiingia upepo tu,silali nb.nimetumia dawa nyingi mfano mafuta ya kuku,simba,mbuni na punda.Pia nimetumia dawa za...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha siasa!!

    Mbona sikusomi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mkenya: Oa mwanamke wa kitanzania upate ardhi Tanzania

    Mkuu hiyo mbona inawezekana tena sana tu.Na siyo wakenya tu hata mataifa mengine wamefanya hivyo.Kuna jamaa mmoja ni Mzambia,ameoa Mtz na ana nyumba na viwanja tanzania kupitia dada yetu wa kitanzania.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Home wife vs job wife

    huyo ni form 6 leaver hajayaona na hajajua maana ya kuoa ama kuolewa,msameheni bure.msimuhukumu maana hajui afanywalo huko aliko
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    mh! Mbona mnatuvua nguo watu wa msoma na kama jina linavyojieleza?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naura spring hotel (Arusha) kubomolewa?

    Mkuu ni typing error lakini imeeleweka hata kama ni kando kando ya mto,lile eneo lina chemchem na walipokuwa wanajenga palikuwa panatitia.so in that sense,eneo lile linachangia uwepo wa maji kwenye mto themi,usitoke nje ya mada tafadhali.tuendelee kupata mawazo mbadala,hasa kutoka kwa wana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naura spring hotel (Arusha) kubomolewa?

    Mkuu yaani N/W amenukuliwa hivyo kuwa hiyo hotel iko kando kando ya mto na akahoji jeuchafu unaotokana na hoteli hiyo hasa maji machafu yanakwenda wapi na akafika mbali kuwa wakzi wa chini yaani huo mto unakotiririka wanakunywa ama kutumia maji yenye uchafuzi.nadhani nimeeleka,hoja ni je ni hii...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naura spring hotel (Arusha) kubomolewa?

    Habari za leo,wakuu! Katika kupitia pitia magazeti leo,kuna gazeti moja limemnukuu N/W Ardhi na Maendeleo ya makazi kuwa majengo yote yaliyojengwa kando kando ya mito mjini Arusha yabomolewe akilitolea mfano naura spring hotel iliyopo kandokando ya mto themi.Hili jambo lishapigiwa kelele sana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Haya sasa, nchi ya migomo, mambo hayaendi kabisa!!

    Malengo yepi,mkuu? Maiti zinaoza pale TAZARA
Back
Top Bottom