Recent content by B Prosper

  1. B Prosper

    Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

    Nilipata sana changamoto wakati wa kuchagua bati, finally niliamua kukata kauli kwa kununua kampuni ya kiboko, bati zao ziko vizuri sana thickness yake nimeipenda kwakwel, pia bei yao ni affordable sana versatile brick red 28g nakumbuka nilinunua 48000tsh hiyo ni mita 3
  2. B Prosper

    Ushauri kwa watenda dhambi wenzangu

    Namshukuru Mungu tangu mwaka uanze sijachepuka, majaribu ni mengi sana, Mungu anatushindia
  3. B Prosper

    Aina gani ya choo ni bora zaidi?

    Acha kudanganyika, hakuna choo ambachohakijai, vyoo vyote vinajaa, kuchelewa kujaa kunatofautiana na ukubwa wa shimo tu, zingine ni mbwembwe tu, Hivyo wanavyosema vya kisasa/havijai tangu vianze hata miaka kumi bado haijafika sasa walitegemea vijae miaka mitano tu???
  4. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kila nikiona code kuna tusi natukana kimoyomoyo
  5. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    RB Kaondoka na mikeka yangu yote, direct, over 1.5
  6. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona dc ya Napoli nilimpa peke yangu
  7. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpuuzi sana yule aliondoka na 5k yangu asubuhi asubuhi tu, Napoli naye kashanikata maini na figo, nasubiri kuzikwa tu
  8. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nawakumbusha tu leo kuna game 1352 tafuta odd 2 tu weka kibunda chako
  9. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mhindi huwa akoseagi [/ATTACH]
Back
Top Bottom