Recent content by Konde

  1. K

    Ile Kesi ya Dokta Slaa iliishia wapi?

    mbona huongelei ya Vicky Kamata.... na mkwere au batilda buriani na Monduli
  2. K

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE kifupi walitoka wote baadhi ni akina nani?
  3. K

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    kama umesoma chuo cha kata si dhani kama tamko hili litatushangaza, wapo walioingia vyuo kama hivyo kwa kapu, huwezi kuwa na uwezo wa kuchanganua mambo na kushindwa kulielewa hata hili , unatoa tamko wewe kama nani?
  4. K

    Benson Bana au Baunsen Burner? - TBC mmechoka ile mbaya

    Ebwae kuna jamaa mmoja alikuwa anaendesha kipindi STAR TV anaitwa Paul Mabuga sijui ni mtangazaji au nini naomba wakuu wa STAR TV walejee CV yake nina doubt kama ni mwanahabari kwani hata waalikwa ni wastaarabu kupindukia kwani ningekuwa mimi ningemchapa vibao.Jamaa ni mshabiki wa CCM mpaka...
  5. K

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Wana JF HAINA HAJA YA KUJIBIZANA NA VILAZA HAWA KWANI HICHO CHUO WANADHANI NI CHA CCM, KUMBUKA MTAMALIZA NA KUINGIA KITAA NDO MTAJUA MBIVU NA MBICHI
  6. K

    Elections 2010 Shein/Seif/Karume wataweza kuhimili mikiki ya CCM Bara?

    Maalim Seif Sharif atangazwa kua makamo wa kwanza wa rais na Ali Karume Makamo wa pili Source:Radio znz & tvz
  7. K

    Elections 2010 CUF ingeungana na CCM ili tuweze kujua tunadili na nani

    Kumbe kuna wa tz bado ni mbumbumbu....wewe kiherehere unachoilaumia CUF ni nini?....hii jf imeingiliwa na watu viherehere..... unajua maana ya iyo nick name yako?...bora ukae kimya tu mtu wg kama huna cha kuongea....shame on u!
  8. K

    Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

    Achanani nae huyo ni vuvuzera...:A S angry::A S angry:
  9. K

    Elections 2010 COMFIRMED: Lowassa achukua tena Monduli

    Waliompa kura huyu fisadi ni wendawazimu kweli...mtu mwenye akili timamu hawezi kumpa kura mwizi huyu....
  10. K

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Hata mimi nilikuwa mdau wa clouds FM ila Kibonde anatia kinyaa anajifanya mutch know sana. People's station naomba mchekini kibonde kwa karibu. Kama vp aende shule ya habari kwani anasikilizwa na watu wengi. Wengine wote fresh sana. G habash kibonde anakuaribia kipindi
Back
Top Bottom