Recent content by kkiwango

 1. kkiwango

  Wa mwisho ndio mshindi

  Burudani murua
 2. kkiwango

  Wa mwisho ndio mshindi

  Tende noma sana
 3. kkiwango

  Bei mpya za uchimbaji wa visima, ground water survey na pump installation

  Morogoro, mkundi baada ya mizani Dodoma road
 4. kkiwango

  Bei mpya za uchimbaji wa visima, ground water survey na pump installation

  Kwa morogoro mnafanya kwa bei gani? Maji yapo umbali wa meter 90, soft rock.
 5. kkiwango

  Lodge na sheli zinauzwa

  Majibu ya flow meter bandarini yanaanza kuonekana taaratibu.....okay poa.
 6. kkiwango

  Viongozi wa Tanzania are you serious????

  Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kuwa vijana hawafanyi kazi, saa nne asubuhi wapo wanacheza pool. maswali yangu kwa viongozi wa nchi hii ni.... 1. Je mmetenegeza nafasi au kuhakikisha nafasi za hao vijana kufanya kazi zinapatikana? nitatoa mfano wa jinsi Uhamiaji na wizara ya kazi...
 7. kkiwango

  Machine ya kukamua alizeti Dar es salaam

  Wakuu habari ya leo. Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo? Asante in advance
 8. kkiwango

  Elimu bure kuchangiwa. Serikali kutoa vibari kupitia kwa ma RC

  'Elimu bure kweli kweli' sio lelemama, Sasahivi kila shule ukipita unaambiwa watoto walioandikishwa darasa la kwanza na chekechea ni asilimia 200 - 300 ya idadi wanayoandikishwa kila mwaka (si bure). Serikali haikupigia hesabu kuna watoto wangapi kwenye jamii wenye umri wa kwenda shule ndipo...
 9. kkiwango

  Msaada kuhusu kupatana dot com

  Sijawalipa bado, na bila kuona mzigo silipi. Heheheh, kweli aisee. Hili ni jipu uchungu. Lkn jamaa anasema transactions zote zinapitia kupatana, simlipi yeye moja kwa moja. Au labda kama ndio mwenye hiyo website
 10. kkiwango

  Msaada kuhusu kupatana dot com

  Aisee watageuka wao nyama choma.
 11. kkiwango

  Msaada kuhusu kupatana dot com

  Na mimi nimehisi ni tapeli huyo. Nawatafuta kupatana sioni namba zao za simu. Wizi mtupu huu
 12. kkiwango

  Msaada kuhusu kupatana dot com

  Wandugu naomba msaada kwa anayefahamu utaratibu wa kununua kitu toka kupatana dot com. Kuna kitu nimekipenda ila owner anasema nilipe kwanza ndio waniletee, na mimi nasisitiza kukiona kwanza ndio nilipe. Yeye anasema kupata watanicontact ili nifanye transactions nao. Niko changanyikiwa kidogo...
 13. kkiwango

  Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

  Aisee umegusa penyewe. Jamaa wanaisaliti nchi kwa tamaa ya 'peanut money' afu wangejua sasa wageni wakwepa vibali wanavyowadharau.... wakipewa buku 20 tu wanatulia, njaa kama nini sijui. Wanaboa kichizi, ukiwa unakwenda kwa Magufuli aisee nistue twende wote maana nina list ya wengi sana...
 14. kkiwango

  Serikali yaanza kuwafilisi Wenye makontena waliokwepa kulipia kodi

  Uko na uhakika? kampuni gani kubwa ya udalali Tz? Majembe wana kesi
Top Bottom