Recent content by kjon

  1. K

    Msiba Mkubwa members wa Calabash Pub

    Mungu amlaze mahala pema, Amina
  2. K

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    Kila dhehebu na watu wake wanapaswa kusimama kwenye imani yao, vinginevyo wataamsha malumbano ya kidini ambayo yatawapeleka watu pabaya. Tuwe makini!
  3. K

    Architecture/Landscaping anatafutwa

    Call 0715835957. The company is EMPEROR TREASURE CO.
  4. K

    leica geo office combined (au hata SKI software)

    Jaribu kuspecify umefanya kitu gani kwa kutumia GPS eg. Static au RTK
  5. K

    Natafuta wataalamu-surveyor wa kupima mashamba

    Kwa ushauri mwingine mpigie member anitwa kjon na namba yake ni 0719311367
  6. K

    Compiled Vacancies (Week 31 2009)

    Kazi kwao wenye CV na Elimu kulingana na matakwa ya kazi
  7. K

    Mh Selelii awaambia mawaziri wana hila bungeni na hawawatakii mema wabunge

    Kuna haja ya serikali yetu kufikiria kwa kina kwamba ni wapi tunaelekea na wananchi wako katika matatizo yapi. Ni juzi juzi tu kulikuwa na walsha ya KILIMO KWANZA, je wakulima watakuwa na maisha gani iwapo sehemu za kilimo hakuna miundo mbinu halafu leo hii unajenga njia nne...
  8. K

    Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

    Pole ndugu green29, ila kwa ushauri wangu jaribu yafuatayo; mwambie wife kuna jamaa yako ulimpa email yako na yake(wife) hivyo ametuma msg (very urgent)lakini kupitia email ya wife, mwombe akutumie password yake ili uweze soma hiyo msg. Huo ndo ushauri wangu.
  9. K

    Rais Kikwete acha tabia ya kubebana

    Mwanatanu na Bubu msemaovyo naomba muelewe kwamba hawa watu hawakuanza jana, ni kwamba hata madaraka ya nchi yanakwenda kwa urithi. Hivyo kama ni mzee au babu alishakuwa madarakani basi ni wazi hata wewe watakutafutia mahali pazuri ili ule.
  10. K

    Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

    Hapo kweli mh kachemsha, naomba ajue kwamba huo ndo usanii, kwani hata kina steve nyerere wanaigiza hadi viongozi wa dunia iweje mh. aone sauti yake ni gharama. Acha vijana wakomaze usanii wao na sio kuwapa vitisho.
  11. K

    Lwakatare Afungwa miezi 15

    Ahsante mungu
  12. K

    Rostam (Mbunge) anawahadaa wananchi wa Igunga

    Nadhani sasa wakati umefika tuanze kuwakana hawa wana jf wanaojiita sisiem, mtu anatoa hoja ya mafisadi halafu anamention kuwa nae yumo ndani ya Chukua Chako Mapema anakuwa na maana gani? Nafikiri wana jf wengine ni watoto hawajui la kuzungumza na nafikiri kati ya wapambe wa huyo R basi na wewe...
  13. K

    Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

    Nafikiri hao ze comedy wana upeo mdogo, na kumbukeni mwenye upeo mdogo ni rahisi kutumiwa na wazito maana hajui nini maana ya ufisisadi na jinsi wananchi wanavyoishi katika mazingira duni. Sanaa ni kuelimisha na sio kuibomoa jamii. Ni hayo tu.
Back
Top Bottom