Nataraji kufunga ndoa katikati ya mwaka ujao mjini Dodoma na mchumba wangu tuliyedumu naye kwenye urafiki kwa muda wa miaka 4 sasa, tatizo limekuja baada ya kwenda kupima na mwenzangu amekutwa tayari ni muaathirika wa virusi, nampenda binti huyu na natamani kuishi naye kwa mapenzi ya dhati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.