Recent content by Peter Mabala

  1. Peter Mabala

    Napenda hili litokee. Je, Yanga mtakuwa upande gani?

    Hata kama ikitokea ni final, nitaweka shilingi yangu kwa Simba.
  2. Peter Mabala

    Kwako Mwanamichezo, Gamondi na Nabi yupi zaidi?

    Wote wapo vizuri. Kila mmoja ameweza kuitangaza Yanga vilivyo kimataifa.
  3. Peter Mabala

    Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

    Anza na hiyo Trial kisha pakua Full Version Unlocker ambapo utafanya malipo hayo ya tsh 10k.
  4. Peter Mabala

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Hili la mchele hapana kwa kweli. Vijana wetu wasijeanza kuwashwa.
  5. Peter Mabala

    Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

    Report ya kocha iwe fupi tu. Ni kwamba tulicheza na majini ndiyo pona yake.
  6. Peter Mabala

    Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Akishinda viporo vyote vinne anaongoza league.
  7. Peter Mabala

    Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

    Uliwahi kuwa kwenye mahusiano yeyote kabla?
  8. Peter Mabala

    Tunaunza nguo pamoja na perfumes

    Ni vyema ukataja eneo duka lilipo, kuambatanisha bei ya bidhaa. Sambamba na hilo ukatag ukurasa wako wa mtandao wa kijamii Instagram, X, Facebook n.k
  9. Peter Mabala

    FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Hahaha, Mwasibu ana hali ngumu sana.
  10. Peter Mabala

    Timu ya Al Ahly wapitishia mizigo dirishani badala ya mlangoni

    No ni 1-0 Goli litafungwa na moja ya mabeki dakika za mwanzo.
  11. Peter Mabala

    LATRA ni kielelezo cha taasisi isiyo makini

    Umemwelewa mtoa mada? Dodoma to Dar es salaam nauli ni tsh 4,000/= Elfu nne Lakini Dodoma to Singida nauli ni tsh 61,000/= Elfu sitini na moja. Inakuingia kichwani?
Back
Top Bottom