Recent content by Kiwangwa Son

 1. Kiwangwa Son

  An operating system wasn't found-try disconnecting...

  Dah mkuu umeniteketeza kabisa na hii lugha.
 2. Kiwangwa Son

  An operating system wasn't found-try disconnecting...

  sijaelewa mkuu unaweza kunielewesha hapa
 3. Kiwangwa Son

  An operating system wasn't found-try disconnecting...

  Wakubwa habari ya saahizi.. nilikua naomba msaada hapo kwa wajuzi nimepata changamoto kwenye laptop yangu hii.. nilikua nafanya baadhi ya mambo sasa nikaihitaji kurestart mashine ili niizime.. nilivyorestart ikawaka ikawa imeishia hapa.. an operating system wasn't found, try disconnecting any...
 4. Kiwangwa Son

  Leo ngono itapigwa sana hapa Dodoma

  kashakujua wew wa mavideo call so ukipiga anasogea pemben kidogo kukuondoa hofu😀
 5. Kiwangwa Son

  Tukutane hapa tulioishi familia za kitajiri ila sasa maisha yametuchapa

  Haya maisha bwana Bora uanzie chini halafu upande juu. Ila ukianzia juu na usipo maintain vyema unaweza kufa kwa kiharusi😎
 6. Kiwangwa Son

  Processor gani nzuri kwa games kutoka i3 hadi i5

  Asante sana mkuu, kwahyo kwa 2nd gen mpaka 4th gen inabidi niangalie zenye M Ila from 5th gen nisihangaike na hiyo kitu si ndo ndio😀Asante Sana mkuu
 7. Kiwangwa Son

  Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

  Asante Kwa somo mkuu Chief-Mkwawa
 8. Kiwangwa Son

  Processor gani nzuri kwa games kutoka i3 hadi i5

  hebu toa ufafanuzi hapo mkuu kwenye hizo processor zinazoishia na U na je ni zipi nzuri
 9. Kiwangwa Son

  Game gani nzuri ambayo tunaweza kucheza wawili offline

  ni vyovyote tu mkuu unavyoona, naomba nitajie basi hizo game za aina hiyo.. Nazungumzia android games sio pc
 10. Kiwangwa Son

  Game gani nzuri ambayo tunaweza kucheza wawili offline

  ndio yani mfano kwa dream league soccer, mnakua watu watatu alafu mmoja ambae hana bando anawawashia hotspot mnashare nyie wawili mnaocheza.. Haihitaji data on only hotspot tu
 11. Kiwangwa Son

  Game gani nzuri ambayo tunaweza kucheza wawili offline

  hii naifaham, nilikua naulizia racing game inayoweza kutumia mfumo kama huu
Top Bottom