Recent content by Kitrack

 1. Kitrack

  Matokeo CPA(T) yamekawia sana. Kuna mwenye taarifa kuhusu hili?

  Yatatoka yakiwa tayari...wahasibu ni wastaarabu na wavumilivu
 2. Kitrack

  Matokeo NBAA kunani?? Lini yanatoka? Kwanini mpaka sasa hayajatolewa??

  :eek::eek::mad::mad: kwahiyo wanafanya uchunguzi au?
 3. Kitrack

  Does anyone of us know what the hell the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) is doing?

  mbona taasisi nyingine board chairman ni upesi walishapatikana,sasa kwenye board kubwa kama Nbaa hadi April hii hola..mitihani tangu tufanye November 2017 ! Mh.Raisi tunaomba utusaidie kwenye hili jambo. its torture kwa kweli kusuburi majibu ya mtihani bila matarajio ya kujua lini yatatoka.
 4. Kitrack

  RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

  Return Of Undertaker Jamaa minamsifu sana,ujue anaonyesha madhaifu yaliyopo kwenye serikali yetu hasa kwenye baadhi ya idara na watendaji. Ni kweli ustawi wa jamii,dawati la haki na jinsia,n.k ndio kazi zao hizi.! Lakini kama hawafanyi kazi zao/hawatimizi wajibu wao,unaona ni vyema mwenye...
 5. Kitrack

  Does anyone of us know what the hell the National Board of Accountants and Auditors (NBAA) is doing?

  Haaahaa utaua hii bodi imeshikilia ajira za watu..inavyochelewesha matokeo inasababisha balaa
 6. Kitrack

  Matokeo NBAA kunani?? Lini yanatoka? Kwanini mpaka sasa hayajatolewa??

  sasa si wangewaita wale wapitishe then,wateue board nyingine!it seems hadi board mpya itimie safu nzima it may reach May
 7. Kitrack

  Matokeo ya NBAA (T), Nov 2017

  March is approaching,still NBAA has not released CPA exams results.This is not fair and good for a professional body to do such a thing to its customers. whoever is causing such a delay should consider the students who put their efforts to take the exams and their finances,lost time...
 8. Kitrack

  BoT waelezeni bodi ya bima ya amana iache upotoshaji

  Wa Tanzania sijui kwanini hatupendani...mtu anafurahia kabisa mwenzie apate majanga. Tulitegemea taasisi kama DIB na BOT kuwa kuna professionals wazuri wangetumia busara na utu kulitatua tatizo hili dogo..sasa nimeamini kuwa hata usome vipi bado roho mbaya na ubinafsi hautoisha kwa baadhi ya wa TZ..
 9. Kitrack

  Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

  hii ya kitunguu saumu unakifanyaje kwa mtoto wa mwezi mmoja na nusu?
 10. Kitrack

  Toyota Raum 2005 inachelewa kuchanganya.

  habari za majukumu, hii gari yangu nimebadili oil pump,nimesafisha nozzle,service nafanya kwa wakati,lakini gari imekuwa nzito sana ukianza kuondoka,au ukifunga breki na kuanza kuondoka gari haikimbii hadi baada ya distance ndefu ndio inakubali. Huwa inakuwa kama inashtuka hivi ikianza...
 11. Kitrack

  DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

  pugu maji mtaleta lini...jitahidini muongeze coverage yenu na mapato ya taifa.
 12. Kitrack

  Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

  Kero yangu ni kuhusu matumizi mabaya ya barabara kwa hawa wenzetu waliojuu ya sheria..askari(polisi na na baadhi ya Jwtz). Utakutana nao njiani wametanua tena njia unayopita wewe na wanakuja speed hukuwakikuamrisha uwapishe,mbaya zaidi hata wakiwa kwenye private cars zao. Utakuta hawana hata...
Top Bottom