Recent content by Kitia

 1. Kitia

  Naomba msaada kuunganisha TP Link router na Vodacom 4G Modem

  Nimefanya hivyo lakini hakuna kinachotokea. Taa ya usb kwenye router haiwaki kuonyesha kuwa modem haijatambuliwa!
 2. Kitia

  Naomba msaada kuunganisha TP Link router na Vodacom 4G Modem

  Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet. Natanguliza shukrani.
 3. Kitia

  Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

  Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom.
 4. Kitia

  Kufungiwa CCTV camera

  Digoo DG-M1Q 960P 2.8mm Wireless Mini WIFI Night Vision Smart Home Security IP Camera Onvif Monitor Kama unaweza kuipata hii ni nzuri sana na bei yake ni rahisi. Mimi naitumia.
 5. Kitia

  Cement ya pakstani

  Mkuu hii thread nzuri sana.
 6. Kitia

  Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

  Ndiyo historia, kwa vizazi vijavyo ili vielewew uhalisia wa hali iliyokuwepo. Hata mimi nimejifunza leo kitu ambacho nilikuwa sikijui.
 7. Kitia

  Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

  Ameelezea vizuri hasa pale kwenye miiko ya viongozi pamoja na wanachama wote kwa ujumla. Ingefaa aandike kitabu.
 8. Kitia

  16 Channel DVR

  Uliweza kuangalia bei za hizo camera na specs zake?
 9. Kitia

  Wanted: KIDDLE PAPERWHITE

  Hii ni nyongeza tu. kwa watumiaji wa kindle, unaweza kuweka vitabu vyko humo kwa kutumia hii application ya Calibre: calibre - Download for Windows
 10. Kitia

  16 Channel DVR

  Ha wanauza vifaa vyote vya cctv?
 11. Kitia

  16 Channel DVR

  Mkuu unaweza kunipa specs za system yako? Unatumia camera zenye specs gani? Je dvr yako ina hard disk ukubwa gani? Ni nini changamoto unazozipata? Nauliza hayo kwa sababu na mimi nina mpango wa kuweka cctv kwenye makazi yabgu.
 12. Kitia

  Taa ya Solar Wakawaka

  Kwa yule ambaye anahitaji hizi taa na anaishi Dar es salaam anitumie PM.
Top Bottom