Recent content by Uchumi wa Mifugo

  1. Uchumi wa Mifugo

    Nairobi International Agriculture Show September 2022

    Kenya wapo mbali sana wanazalisha maziwa kwa kiwango cha juu sana,Wana ng'ombe Bora sana wa maziwa,wanafanya kilimo kwa njia za kisasa sana,wanazalisha matunda maua na mboga wanauza sana Ulaya. Inawezekana hayo mazao wanayonunua Tanzania kwao hayakubali sana au wanakabiliwa sana na ukame.
  2. Uchumi wa Mifugo

    Miti gani inafaa kupandwa kwenye makazi yaani nyumbani?

    Panda miti ifuatayo Kama una eneo kubwa . 1.Mwembe utapata kivuli na matunda. 2.Mwarobaini utapata kivuli na mbao, mwarobaini una mbao nzuri sana ngumu na nyekundu. 3.Mzambarau utapata kivuli,matunda na mbao, nao una mbao nzuri sana. 4.Mparachichi utapata kivuli na matunda. 5.Mfenesi utapata...
  3. Uchumi wa Mifugo

    Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Mabadiliko ya Katiba yanatakiwa yaanzie kwa wananchi,lakini kwa Tanzania Rais ni kila kitu ,yeye anateua Jaji mkuu, anateua Spika wa bunge(Mwenyekiti wa kamati kuu ya CCM inayopitisha jina la Spika), anateua Mwenyekiti na makamishna wa time ya uchaguzi,yeye anaweza kufunga watu,yeye anaweza...
  4. Uchumi wa Mifugo

    Ramadhani Marekani: Tarweh Times Square New York

    Malipo mnalipwa na nani,na huyo mlipaji anachagua tu wa kuwalipa?je huyo mlipaji anahusika na Waislam tu?
  5. Uchumi wa Mifugo

    Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

    Kazi ni mwamuzi mstaafu wa FIFA keshawahi kuchezesha mechi ya Simba na Yanga.Inawezekana Kuna maeneo anaweza kukosea lakini anajua sana sheria za soka. Kupitia tv na uchambuzi wake kwenye tv mimi nimejua vizuri Sheria ya offside iliyokua inanisumbua.
  6. Uchumi wa Mifugo

    Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

    Kama mtu una tatizo la kunuka mdomo,kunuka kikwapa na matatizo mbalimbali ya kiafya soma kitabu hiki
  7. Uchumi wa Mifugo

    Namkumbuka: Juma "Babu" Duni Haji 1995

    Nanukuu"Juma Duni Haji leo hii ni kiongozi mkubwa Zanzibar"kwanini umesema hivi wakati Babu Duni ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa yaani Tanzania yote?
  8. Uchumi wa Mifugo

    Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Nikupe somo kidogo:uume wa binadamu una kazi 2 tu,1.kutolea haja ndogo,2.kufanya mapenzi.hiyo ya kwanza tuiache,ya 2 mwanaume yoyote mwenye uume unaosimama anaweza kumfikisha mwanamke kileleni bila kujali ukubwa au udogo wa uume wake,na pia mwanaume mwenye uume mkubwa anaweza kushindwa...
  9. Uchumi wa Mifugo

    Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Tatizo lako ni la kisaikolojia na kutofahamu mambo mengi yanayohusu ufanyaji wa mapenzi,Piga namba 0756625286 utasaidiwa ushauri.
  10. Uchumi wa Mifugo

    Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

    Walivyoona wamekosea wakarekebisha,wakaandika barua wakarudisha tarehe nyuma.
  11. Uchumi wa Mifugo

    Nguruwe wangu amezaa lakini maziwa hayatoki na watoto wanahangaika njaa. Nifanye nini?

    Kanunue maziwa ya unga yanauzwa maduka yanayouza bidhaa za mifugo.Huwa wanapewa ng'ombe ndama waliofiwa na mama zao.Wape hayo huku ukiendelea kutafuta suluhisho.
Back
Top Bottom