Recent content by kinyamukonyi

  1. K

    Baraza Jipya la Mawaziri kama lilivyotangazwa na Rais Kikwete leo (kwa Kifupi);

    Kama kawaida ya Serikali yetu, baraza limeongezwa ukubwa; Kabla Mawaziri 29 manaibu 20 plus waziri mkuu: Leo Mawaziri 30 Manaibu 25, plus Waziri mkuu: Mbinyo wa matumizi serikalini uko wapi?????, je kuongeza ukubwa wa serikali utaendana na kasi ya utendaji na uthibiti wa...
  2. K

    Kwa Wenye viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vya kuzalisha na kusindika chakula, nauza huduma

    Wanajamii, ninaomba kutangaza huduma ya kitaalamu kwa wazalishaji na wasindikaji wa chakula: Kukagua mifumo/mitambo, na ushauri kwa kuzingatia usalama na ubora wa bidhaa kwa mujibu wa sheria za Tz na Codex Ninawasilisha jamvini Tunapatikana +255 657 123 733
Back
Top Bottom