Recent content by Daud26

  1. D

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Pole kwa wote waliofikwa na msiba Hakika siku za mwanadamu si nyingi Ayubu/JOB 14:1-2 ni vyema tuishi maisha ya kumpendeza MUNGU
  2. D

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Mkuu,unatakiwa upate asilimia ngapi za oral interview. Ndipo unaweza kuitwa internship au kazini ?
  3. D

    Mashine nzuri ya kukoboa na kusaga nafaka

    mkuu, unaitaji mashine
  4. D

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Muda ni hakimu. Ila kuhusu mwinyi jr mh! Baba kakodisha loliondo 99yrs . Mtoto kakodisha visiwa . Mwingine bandari fc.
  5. D

    Kuomba AVN Number kumenitoa jasho msaada

    Ukishindawa nenda ofisin kwao. Unapata avn siku hiyohiyo
  6. D

    Msaada juu ya Taratibu za kuanzisha Chuo

    Hongera wazo zuri ata mimi nilishakuwa na plan on paper kuhusu hii project .nakushauri tembelea website ya nactevet utapata yote au nenda nactevet ofice kwa consultation
  7. D

    Mtu aliyesoma Community development anaweza kuwa afisa TAKUKURU?

    comment hii itolewe copy na iwekewe lamination
  8. D

    Taifa lolote lenye nguvu duniani linajengwa na Wasomi

    Haki uinua taifa. Tunayo mifumo mizuri ya kupata viongozi lakin haifuatwi. Wenye sifa hawapewi nafa na wenye nafasi hawana sifa,
  9. D

    Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    kuna nchi zaidi ya 37 ambazo ni islamic kiuongozi africa na asia sasa tungechukua hata chache hata 10 kama sample ili tufanye analysis na conclusion ya hoja. Kuhusu kukemea maovu kuna baadhi ya iman hawafuati quran lakini miongozo yao na iman zinakataza uovu je na wao wakisema tufuate iman yao...
  10. D

    Wasemaji wa timu msilete utani wenu wa kipuuzi (kejeli) kwa makocha wa timu husika

    wajifunze kwa maafisa habri bora kama Thobias Kifaru, Masau Bwire. Dismas Ten, Jafar Idd Maganga. Deokaj Makomba, Juma Nkamia, maafisa habari wa timu za majeshi nk
Back
Top Bottom