Recent content by _ID

  1. I

    Sioni haja ya kwenda chuo

    I appreciate!!
  2. I

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Ungemention hzo course zisizofahamika na wengi ingekua vzur sana. Sie wengne tupo kasulu huku, hatuna access ya kufika bandari wala bank!!
  3. I

    Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Yes, 5g inawezeshwa na hardware(chipset) ya smu yako. Kama smu yako ina processor yenye uwezo wa ku support 5g, then ukitumia line ya 5g itafanya kazi. Not otherway round.
  4. I

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Siku utakayorudi na kukuta amehamisha vitu vyako vya ndani vyote na kukimbilia kusikojulikana utalia hutoamini
  5. I

    Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Doctor, mimi ni driver, naomba ajira hapo wizarani. ASANTE.
  6. I

    Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

    Ukishaona website ina extension ya ". go. tz" jua hyo ipo chn ya serikali ya Tz.
  7. I

    Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

    Huko kwenu wenzetu mnachemshia petroli?
  8. I

    Vitu gani vya kufanya vya uzalishaji ili usiboreke kukaa kwenye ofisi isiyo na schedule

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nmejizuia ku comment nimeshindwa
  9. I

    Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Sawa nashukuru! Ngoja nimsubiri Waziri wa Kaskazini anpe connection ya kushusha mizigo!
  10. I

    Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Mm ni driver wa magari madogo ila hata hzo general labor duties na fanya.
  11. I

    Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Mbona cjaziona asee. Tafadhali share link!
  12. I

    Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Tupeane connection ya bandarin ndugu yangu.
  13. I

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Tafadhali tutaacha vyote ila sio nguruwe, tafadahal tafadhali!!
  14. I

    Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Mkoa gani ambao hvyo vtu vinapatkana bure?
  15. I

    Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

    Mishe gan unapiga huko kenha mkuu
Back
Top Bottom