Recent content by Zanaco

  1. Zanaco

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Hapana mimi ni msema ukweli tuna mioyo mieusi sana.
  2. Zanaco

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Waswahili tuache unafiki na rohombaya hii website ni mzuri inashare mzuri nimeshare kwa ndugu na jamaa ila Jonson sio kwamba na kuchafulia ungekua mzungu hivi watu wangekuwa wanakesha kwenye website yako arafu mtu anakuambia Ramani usimpe mtu Ramani kakuungisha nini nendeni ubarozi pale upanga...
  3. Zanaco

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Ukitaka kununua Gari unaenda Be forward na SBT ukita ramani ya kwenda Japan unamtafuta mtazania mwezako sio?
  4. Zanaco

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Wabongo tunafeli pakubwa sana huyu jamaa ana access sawa na Beforward na SBT tatizo utamaduni wa kudhamini wageni pia unatuponza hawa wapakistani Be forward na SBT wameteka soko la Tanzania na nchi jirani hivi kweli mpakistani anaweza kunisaidia chochote hadi nimuungishe hii kitu inafikirisha sana.
  5. Zanaco

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Labda fanya marekebisho kwenye registration form kwasababu nimeandika user name Jasusi mweusi ikaniambia maneno mengi sana nika force nika submit tena ikakubali kama inataka kuwapingia users majina gani watume.
  6. Zanaco

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Nipitia bandiko zima mwanzo mwisho ushauri mwingi ni feki usiufate akili ya kuambiwa changanya na yako. Tatizo sio business plan wala website tatizo ni muda wabango kunasiku wataacha ujinga wanapenda sana shobo na ujinga ujinga mwingi nfano watu kama Doto Magari wanakitu gani cha maana,wewe...
  7. Zanaco

    Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Hapo kuna platforms ambazo wauzaji wa bidhaa wakikwa sehemu mbalimbali ikiwepo Japan South Africa Dubai Tanzania wamejisajili pale kwenye online platform wengi ni Watanzania wanaushi nje ya nchi na wanatangaza na kuuza bidhaa zao kupitia pale. Unaweza kumtafuta seller moja ukamwambia unataka...
  8. Zanaco

    Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Umefungiwa hapa jamiiforum uwezikutoka nje ya Jamiiforum? Utanilipa bei gani kufundishe jinsi ya kutumia website zingine?
  9. Zanaco

    Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Nimeagiza bidhaa tangu 2017 nimewajua kupitia hapa Jamii Forum. mnakaaga hapa mnafanya nini kama uwezi kujua kampuni kubwa kama hizi?
  10. Zanaco

    Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Mkuu hizo Habari unaingia hapo unawauliza Kuna namba ya simu ya Japan na Tanzania Misiwezi kuwaelekeza watumishi wenzangu sehemu ambayo sio sahihi
  11. Zanaco

    Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Wizi ukiacha kuwa kosa ni thambi usifundishe watu kufanya wizi sio vizuri
  12. Zanaco

    Diaspora Hawatoi connection?

    Hii kitu bwana Wabongo wanapenda lawama jonsonjohn kupitia kwenye website yake wwww.digxam.co ametafuta sana watu kwajili ya kufanyia connection ya kuingia Japan watu kamkataa baada ya mwezi akafuta akaona ujinga leo watu wanalaumu nini
  13. Zanaco

    Digital Marketing:Mfumo wa marketing usiofahamika kwa wengi unaoenda kuua matangazo ya redio na tv

    Wabogo wengi wakisikia kitu mabadiliko wanaogopa
Back
Top Bottom