Recent content by Kimbembe

 1. K

  Mimi Lunyungu Matandula nimeshangaa na nauliza sasa ni kwa nini wageni ?

  Mkuu ungaliweza kuchangia bila kijembe ambacho tuna uhakika huwezi kukitetea juu ya safari ya jamaa.Lakini kubwa ni kwamba pamoja na wahindi kujazana na hawapewi siku 7 Lunyungu hata mimi nashitushwa na jambo la Usalama wa Nchi airport yetu japokuwa wengi hawana permits na inasemekana maduka...
 2. K

  Msekwa, Lowassa kuonja Ukonga?

  Mtoa madai yeye uelewa wake ni kiasi hicho ndiyo mahakamba haifuati yake bali inafuata sheria na mjuaji ni Wakili na Jaji mengine ni maneno ya kukoleza madai hili nalo mnahitaji elimu ya Oxford ? Jamani nyie JF vipi ?
 3. K

  Msekwa, Lowassa kuonja Ukonga?

  Tupe aya mkubwa za kuonyesha hakimu na si Jaji kachemsha .
 4. K

  Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

  Hii ni habari mpya ama iko hapa kwa makosa ?
 5. K

  Membe Ubalozi karibia utafungwa kule Brussels

  Nilisema nikaondoka ili nione wabishi wa jf wanasemaje .Sasa haya wamebana na sasa wamechomoa .Tuendelee sasa .Ubalozi umefungwa kuanzia dec 5 lakini hakuna tangazo wala taarifa .Je kuna tatizo gani hapa ? Es umeona kwamba visa hazitoshi kuendesha ubalozi na kwamba si kweli Ubelgiji...
 6. K

  Membe Ubalozi karibia utafungwa kule Brussels

  Bulesi Brussels yuko Hon.Mlay , Nyani Ubalozi wetu wa Brussels ni strategic .Kuna EU mission hapa hapa Brussels na pia Balozi wa Ubelgiji anaenda hadi Holland na Luxembourg .Sasa naamini bado ni muhimu sana sana kwa kila kitu kuwepo .Noma ni heating system hadi inatishia kufunga Ubalozi...
 7. K

  Membe Ubalozi karibia utafungwa kule Brussels

  Ndugu Membe nimetokea ubalozini muda huu kutafuta huduma basi sijakuta mkubwa yeyote wako wadogo tu pale ndani ambao hata majibu ya maswali yangu hawakuwa nayo na nimeondoka bila ya kuhudumiwa .Wote wana tetemeka hawana heating system katika jengo wiki nzima hii .Inasemekana wanaweza kufunga...
 8. K

  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete!

  Ni majuzi tu wamegundua kwamba jamaa anapenda masifa na ili kuishia naye lazima kuendeleza kumpa masifa wapate chao wanacho kihitaji.So wana endelea na kumwaga masifa na CCM watayatumia kwmaa kigezo cha kukubalika namaendeleo yaliyo letwa na serikali ya Mzee wa kikwere
 9. K

  Zaidi ya watanzania 100 wafariki Mererani

  Hajaumnganisha haya na hotuba zake za mwezi ? Je kwa yeye kuchelewa kufika katika eneo la janga nako ni kazi ya Mungu ?
 10. K

  Wadau mnalia na Wazungu huku Mwenguo na Macha wanapeta kwa kodi yetu

  You are arriving a little bit late kwenye point maana this was obvious from the beginning na Lunyungu all he did was to create awareness na na zaidi ya hapo .
 11. K

  Wadau mnalia na Wazungu huku Mwenguo na Macha wanapeta kwa kodi yetu

  Mwenguo na Macha wana makampuni yao na wanatoa business kadi zao wakiwa kwenye official trips , wanatoa flyers na kuwatumia watu wao kwa pesa za TTB kuingia katika misafara na kupata watalii kwa gharama za mlallahoi leo mnasema kuna wivu ? Wivu upi ?
 12. K

  JK kachangisha milioni hizi, kwa nini tunaomba bajeti ichangiwe nje?

  Lusajo You have my support na nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa .
 13. K

  Spika aandamwa kwa visasi - Bunge

  Mshangao wangu ni mmoja .Namuuliza huy Dr.sijui nani jina lake .Kama Spika anazuliwa mambo mbona ukweli wa matumizi ya shilingi 2m toka pale Oysterbay Pharmacy uko nje ? Kama kuna ukweli kwenye hili nani anauzuia ukweli kwenue haya mengine ?
 14. K

  Zaidi ya watanzania 100 wafariki Mererani

  Kazi na asante ya CCM na msaada kwa wahanga ndiyo imeishia hapo .Hivi makampuni makubwa na mashine zao si wako hapo poa walizitumia kumwaga maji nje na kuokoa maisha ya baadhi yao ama ni kazi ya Mungu pia kupata vyombo vya uokoaji ?Tujifanye mambo haya yamewakuta wazungu wawekezaji JK si angeeda...
 15. K

  Serikali itathmini safari za viongozi - Kigoda

  na Salehe Mohamed SERIKALI imetakiwa kufanya tathmini ya faida za safari zinazofanywa na viongozi mbalimbali nje ya nchi kutafuta wawekezaji. Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali, Dk. Abdallah Kigoda, alisema hayo alipochangia mada kwenye semina ya wabunge kuhusu mwongozo wa...
Top