Recent content by kilimajoy

  1. K

    Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

    Aaa, jibu hapo tumepata, huyo jamaa atakuwa alikuwa anapita tu. Pole sana, songa mbele na maisha yako mdada, usiendelee kuumiza kichwa.
  2. K

    Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

    Ukiona hivyo ujue kuna tatizo LA msingi, umeshaongea nae kwanza kabla ya kuleta malalamiko yako hapa? Kwa wale waliosoma physics tunajua Newton First law of Motion..tafsiri Yake hakuna kitu kinaweza kutoka sehemu moja hadi nyingine bila kuwa na msukumo wa nje! Kwa hiyo na wewe mjiangalie, haya...
  3. K

    Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati. (2) Kila raia anayo haki...
  4. K

    Mtendaji Mkuu wa Posta (PMG)

    Kwa wale wenye ndugu, jamaa na marafiki nafasi ya Ukuu wa Posta imetangazwa. Angalieni kwenye Portal ya Ajira. Tanzania
  5. K

    Shamba linauzwa Kibamba

    Huo mto ni wa masika tuu, ila kwenye huo mto kunasimama maji muda wote wa mwaka, nilihakikisha nimelinda miti iliyopo pale kwa upande wangu haijaguswa, kwa hiyo kuna maji ya kumwagilia muda wote. Na kuchimba kisima pale ni rahisi tuu in case unahitaji.
  6. K

    Shamba linauzwa Kibamba

    Kuna ambaye ameuliza kwa njia ya simu hatua za upimaji zimefikia wapi, na kama lipo kwenye swap area. Shamba hili halipo kwenye swap area, lipo kwenye side ya mto ambao maji hayafiki kabisa. Hatua iliyofikiwa kwenye upimaji ni kwamba, Halmashauri ya Kibaha imetoa kibali cha kupima na...
  7. K

    Shamba linauzwa Kibamba

    Kwa yule aliye serious tunaweza kukubaliana namna ya kulipa sio lazima zilipwe zote kwa wakati mmoja, ila at least zilipwe zaidi ya nusu kwa mara ya kwanza.
  8. K

    Shamba linauzwa Kibamba

    Shamba zuri linauzwa Kibamba (linatumika kwa sasa kulima mboga, limepakana na mto Kibwegere), Ni eneo ambalo linaweza kutumika kwa Makazi au kulima mboga mboga au kwa ufugaji. Lina Hati ya Kijiji, na muhtasari wa kijiji ulitolewa na Halmshauri ya Kibaha imeshatoa idhini ya kuanza kulipima. Kwa...
  9. K

    Nipo wilaya ya Rombo kikazi hii wilaya ni ngumu sana kuishi

    Hiyo Rombo yako sijui ipi, mimi nimeishi Rombo tokea mwaka 1981, nyumbani nilikuta bomba la maji na sikuwahi kujuwa lilifungwa lini na hadi wiki tatu zilizopita nilikuwa huko sikujaona bomba likiwa halina maji. Ninakubali kuna maeneo ya mashariki yanayopakana na Kenya yalikuwa na shida ya maji...
  10. K

    Unaweza kupiga kura ya urais popote pale hata kama sipo ulipojiandikisha?

    Kuna ambaye amesema fomu ipo ili ubadilishe kituo...ila muda nao upo?
  11. K

    Unaweza kupiga kura ya urais popote pale hata kama sipo ulipojiandikisha?

    Hello wana JF, Nilikutana na marafiki zangu wakiwa wamejiandikisha kwenye vituo tofuati na wanavyoishi wengi wakidai kuhusu foleni na changamoto zilizokuwepo kwenye zoezi la uandikishaji. Kwa hiyo wengi wakaamua kujiandikishia kwenye vituo ambavyo waliona havina watu wengi. Nilipowauliza kama...
  12. K

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Jamaa wa NEC walitoa ufafanuzi ya Jana kwenye kipindi cha kipima joto ITV ya ya kwamba , unaweza kucheki taarifa zako pale utakaposikia nkoa wako umetajwa ya kwamba wameshabandika daftari na sio vinginevyo. Pili walisema namba hii inasaidia kuondoa usumbufu wa kwenda kwenye ofisi...
  13. K

    Tamko la Maaskofu na Wachungaji wa Kipentekoste juu ya kuugua ghafla kwa Askofu Gwajima

    Ni vema wakajua yaliyojiri huko kwenye majadiliano. Isije ikawa alifunguliwa ukarasa wa mambo yake ndiyo akajiona ya kwamba kumbe watu wanajua kila jambo lake ndo akapata pressure akaanza kuumwa. Inawezekana aliona sasa hapa ameshajulikana kila kitu na haenda hakuamini ya kwamba watu wana data...
  14. K

    Hatari iliyopo kuhusu Waendesha Bodaboda na vijana wa mtaani

    Hello Wadau, Kwa siku za hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la waendesha pikipiki aka bodaboda. Hatukatai ni ajira ambayo imewawezesha vijana wengi kujiajiri. Ila tutambue ya kwamba kitu chochote kisipokua na control ya kutosha kinaweza kikawa ni tatizo kubwa. Siku za hivi karibuni...
  15. K

    Tovuti (Website) mpya Serikali

    Good job, kwa kweli sikujuwa kama kuna serikali ina fomu nyingi hivi...
Back
Top Bottom