Recent content by kigimu

  1. K

    Nape Nnauye: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli

    Nape na kinana walikemea na kulalamikia ufisadi mapema na kuwasema mawaziri wao ni mizigo.
  2. K

    Saed Kubenea alipaswa kuungwa mkono hata na Rais Magufuli

    Kama kuchaguliwa ndo sifa pekee ya uzarendo ktk taifa. Wapo kina chenge vijisent pia Tibaijuka pesa ya mboga
  3. K

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    Hilo ni zoezi zuri pia Lina ubaya wake.litaua kabisa mziki wa ndani na kuupa nafasi mziki wa nje. Waweke utaratibu mzuri.kuna mifano ya nchi nyingi tu kushuka ki sanaa kutokana na sheria kama hizo.
Back
Top Bottom