Recent content by Ngomile

  1. Ngomile

    Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

    sasa hapo kosa liko wapi ndugu mwandishi! uhuru wa habari utakuwa na maana gani kama tunataka habari gani iwe yangapi kurushwa kama unavyotaka? Halafu pia unatakiwa kujua kuwa kutoiunga mkono serikali sio kosa wala uhaini kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Mtu unatskiwa kuwa mzalendo kwa nchi...
  2. Ngomile

    Vibali vya kurejea utumishi wa umma

    Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza. Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni...
  3. Ngomile

    Rais Magufuli hajavunja Katiba kumteua CAG mpya, tatizo ni Kiingereza kilichotumika kwenye Katiba

    Ni kweli lkn umesahau la sivyo unajitia upofu wa makusudi. Katiba imeweka utaratibu maalamu, endapo kwa namna zilivyoainishwa "zingatia" kikatiba kama Rais aataona kuna sababu ya kutoendelea baada ya hiyo miaka Mitano Naye hajafika umri wa kustaafu! Upo utaratibu wa kumwondoa toka nafasi hiyo.
  4. Ngomile

    Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kufa endapo suala la wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi halitaangaliwa

    Jifariji najua unaumia lakin hakuna namna kwaheri ccms!
  5. Ngomile

    WB watuanika udhaifu wa Tanzania, yadai kwa miaka 2 tumeporomoka nafasi 12 za mazingira ya uwekezaji huku sekta binafsi ikiwa hoi

    watanzania gani waliowadiss mkuu au unatumika kama toilet paper kupindisha mambo ona aibu bwana. watz wameielewa sana ile report ya imf kwani yupo aliyetunga au ni ukweli mtupu
  6. Ngomile

    Uchaguzi 2020 CCM kama mnaipenda Tanzania amueni kiume 2020

    Kwa hali ilivyo sasa inaonesha ule utamaduni wa makundi ya kuwania urais 2020 yameshajipanga na yako mkao wa kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu ujao. hivi karibuni tumeona kumekuwepo majibizano ya kisiasq kati ya wanasiasa wawili hasimu kutoka ndani ya ccm bwana Benard Membe na Rostam...
  7. Ngomile

    Membe jiandae kisaikolojia

    kwa hiyyo unataka kuumnia uuma kua rais magufuli anamuacha membe kwa sababu hajagusa maslhi yake na kwakuwa sasa ameonesha nia ya kuutaka urais na kwa maneno mengine unataka kutuambia kuwaa taratibu zilizowekwa na chama za kuruhusu hicho membe anataka nzikiukwe kwa maslahi ya magufuli na nyie...
  8. Ngomile

    Membe jiandae kisaikolojia

    kwani hii demokrasia inayohubiriwa na katiba zote ya chama na ya nchi ni maigizo ama ipo in practical? maaana nakuona umetumwa kutisha watu sio. hivi kwa ubongo wako mdogo unadhani membe atatishwa na hui kweli uko na haja ya kutoa vitisho vyote hivi kama vile labd membe hiyo nia yake ya...
  9. Ngomile

    Ikulu: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa IMF, wazungumzia ripoti ya IMF iliyovuja

    Uandishi huu ulinichukua muda Sana kuelewa Kuna kipindi nilianza kukuona Kama mnafiki Fulani Hivi lakini nilikuheahimu Sana kwaechambuzi zako lakini nakuelewa Sana siku hizi
  10. Ngomile

    Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

    Mungu saidia haki ya mungu Tz tufungwe bao zitakazofanya tujifunze Kuchukulia mambo kwa uzito badala ya watu kujitafutia umaarufu wa kijinga Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ngomile

    Msaada Tafadhali, nimeondolewa kwenye LOWSON

    Ndio mkuu wapo kwenye huo wa ulipaji na niliuliza hayo wakatujibu kuwa kwa kuwa system ni moja taarifa zitagongana hivyo tuombe kuhamisha taarifa na taratibu za uhamisho kupitia menejiment ya Utumishi wa immature. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ngomile

    Msaada Tafadhali, nimeondolewa kwenye LOWSON

    Wakuu habari za majukumu!! Niende moja kwa moja kwenye Mada. Ninaomba ushauri nini natakiwa kufanya kuhusu hili suala langu. Mimi ni mwajiriwa serikalini kupitia moja ya wizara. Nilifanya usaili katika taasisi ya umma mwaka huu mwezi wa nane na nikafanikiwa kupata kazi katika taasisi Hiyo...
  13. Ngomile

    KINACHOENDELEA BODI YA MIKOPO NI SINTOFAHAMU NA KIMYA KIZITO

    Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa, Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau. Maana hali si nzuri
  14. Ngomile

    Barua ya wazi kwa waziri wa afya Ummy Mwalimu

    Pamoja na nayo mkuu mapato ni motisha ya katika kazi. Nashukuru kwa pole!
Back
Top Bottom